young_mesult
Senior Member
- Oct 11, 2012
- 133
- 35
DIT naona ni kizuri
Habari wana JF..katika vyuo vilivyotajwa hapo kipi ni kizuli kwenda kusomea kozi za engineering kama civil etc..kuanzia mazingira mpaka ubora wa elimu.
msaada wakuu!
Kwa level ya degree nenda Udom,ila dit ni kwa chet,na diploma ndo kupo fresh ila degree bado coz degree za hapo ni za kuunga unga,Jitu limefeli o level anasoma chet,diploma,alafu ndo degree kama na we unaunga unga nenda DIT.

Kwa level ya degree nenda
Udom,ila dit ni kwa chet,na diploma ndo kupo fresh ila degree bado coz
degree za hapo ni za kuunga unga,Jitu limefeli o level anasoma
chet,diploma,alafu ndo degree kama na we unaunga unga nenda DIT.
bora DIT mkuu , udom chuo cha kata
Naona ww unasoma cha mkoa