Kaka mwisho
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 407
- 178
No money from jey key gorvement
Endeleeni kuwa wapole na wavumilivu kwani Tanzania ni kisiwa cha amani na uvumilivu bila kusahau upoleChanzo cha migomo vyuo vikuu kwasasa ni kuchelewashwa kwa pesa ambazo kwa sasa hutolewa na chuo husika. Mpaka sasa udom kuna wanafunzi hawajapata hata la kwanza na la hawamu ya pili muda umefika lakini bado hawajapewa. Je yakitokea kama ya udsm na st john dom nani alaumiwe?