Christafari
Senior Member
- Jun 2, 2013
- 117
- 13
zile coz za education zote zilishushwa point na coz nyengine kibao
Walishusha zote kutoa collage ya health and alied science,,wameupdate kweny ktabu kpya online..
kweli chuo cha kata udsm hupati kwa art hukiwa na point 2.5 hata 4.5 hapa mwendo wa 5.0
so zote include bcom of finance na marketing ni 2.5?
U mean whch year coz jana tu nimedownload bt ni ile ile ya point 5. .hw cn i get th new 1
Kama kunamtu anaweza eka link. .u cn do t
Fungua web yao kisha cheki kwenye new revised guide book
kweli chuo cha kata udsm hupati kwa art hukiwa na point 2.5 hata 4.5 hapa mwendo wa 5.0
Walishusha zote kutoa "collage ya health and alied science",,wameupdate kweny ktabu kpya online..