Udom wameita tena college of natural and mathematical science

Udom wameita tena college of natural and mathematical science

PoPoE

New Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
3
Reaction score
0
Udom wameita tena college of natural and mathematical science ingia kwenye website yao uangalie jina lako kwa nafasi za lecturer, asst. Lecturer and tutorial assistant
 
Hizo nafasi walishapewa watu kazi. Ni kiini macho tu...
 
mkubwa mbona kwenye website yao hamna hiyo colleage zaidi ya social science na hawa wa bsiness na economics????
tuwekee basi link kama ipo???
 
Back
Top Bottom