P PoPoE New Member Joined Apr 1, 2012 Posts 3 Reaction score 0 Dec 14, 2012 #1 Udom wameita tena college of natural and mathematical science ingia kwenye website yao uangalie jina lako kwa nafasi za lecturer, asst. Lecturer and tutorial assistant
Udom wameita tena college of natural and mathematical science ingia kwenye website yao uangalie jina lako kwa nafasi za lecturer, asst. Lecturer and tutorial assistant
M Malova JF-Expert Member Joined Apr 21, 2011 Posts 784 Reaction score 228 Dec 14, 2012 #2 Hizo nafasi walishapewa watu kazi. Ni kiini macho tu...
Mwanamalundi JF-Expert Member Joined Aug 30, 2007 Posts 3,125 Reaction score 1,435 Dec 14, 2012 #3 Asante kwa taarifa.
R Rosca Member Joined Dec 13, 2012 Posts 12 Reaction score 1 Dec 14, 2012 #4 Mkuu tupe uhakika ndugu zetu wasipoteze nauli Malova said: Hizo nafasi walishapewa watu kazi. Ni kiini macho tu... Click to expand...
Mkuu tupe uhakika ndugu zetu wasipoteze nauli Malova said: Hizo nafasi walishapewa watu kazi. Ni kiini macho tu... Click to expand...
X xiande Member Joined Oct 3, 2012 Posts 90 Reaction score 12 Dec 15, 2012 #5 mkubwa mbona kwenye website yao hamna hiyo colleage zaidi ya social science na hawa wa bsiness na economics???? tuwekee basi link kama ipo???
mkubwa mbona kwenye website yao hamna hiyo colleage zaidi ya social science na hawa wa bsiness na economics???? tuwekee basi link kama ipo???