Wafuatao wanahitajika kufika kwenye usaili kwa tarehe zilizotajwa hapo chini. Usaili utafanyika katika Chuo cha Sanaa, Lugha na Sayansi za Jamii; Skuli ya Sanaa na Lugha(School of Humanities), Jengo la Utawala kuanzia saa 2.30 asubuhi.
Wasailiwa wote wanahitajika kuja na vyeti vyao halisi vya taaluma na cheti cha kuzaliwa.Tafadhali zingatia muda
ORODHA YA WASAILIWA
RATIBA YA USAILI YA TAREHE 10/12/2012 KWA SKULI YA SANAA NA LUGHA