Udom wapeni watu Transcripts zao

Udom wapeni watu Transcripts zao

MZAWATA

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
556
Reaction score
95
Chuo kikuu cha Dodoma kwa kweli kinasikitisha sana,watu wamemaliza chuo tangu mwaka jana mwezi wa 6 mpaka leo hii hawajapewa transcripts zao lakin vyuo vingine karibu vyote washatoa na watu wanatumia kuombea kaz lakin wanaudom wapo mtaan tu bila transcripts zao. Uongoz unapiga tarehe kila siku,mara mwishon mwa mwez wa pili mara katkat ya April,jaman jaman watu walisoma ili wapatiwe vyet na watafute kaz. Tafadhal management mtimize ahad yenu ya katkat ya april,msilete tena longolongo. Thank u
 
Washajua hapo wahitimu wengi ni Cdm ndo maana wanaleta miyeyusho wanaizaya wakubwa hao
 
Chuo kikuu cha Dodoma kwa kweli kinasikitisha sana,watu wamemaliza chuo tangu mwaka jana mwezi wa 6 mpaka leo hii hawajapewa transcripts zao lakin vyuo vingine karibu vyote washatoa na watu wanatumia kuombea kaz lakin wanaudom wapo mtaan tu bila transcripts zao. Uongoz unapiga tarehe kila siku,mara mwishon mwa mwez wa pili mara katkat ya April,jaman jaman watu walisoma ili wapatiwe vyet na watafute kaz. Tafadhal management mtimize ahad yenu ya katkat ya april,msilete tena longolongo. Thank u

Hii ni siasa???
 
Everything is politics in Tz! Thanx 4 ur imaginary contribution
 
UDOM hawajajipanga kabisa.Hawako serious.Kwa wahitimu wa kwanza 2010,Transcript na Vyeti wengi wao vimekosewa ile mbaya.Kukosewa majina,miaka ya kuzaliwa,kozi walizosoma,GPA na wengine hadi picha.Hii ni aibu kwa Chuo Kikuu jamani.Sijui tatizo ni nini hasa!!!!.
 
Back
Top Bottom