Chuo kikuu cha Dodoma kwa kweli kinasikitisha sana,watu wamemaliza chuo tangu mwaka jana mwezi wa 6 mpaka leo hii hawajapewa transcripts zao lakin vyuo vingine karibu vyote washatoa na watu wanatumia kuombea kaz lakin wanaudom wapo mtaan tu bila transcripts zao. Uongoz unapiga tarehe kila siku,mara mwishon mwa mwez wa pili mara katkat ya April,jaman jaman watu walisoma ili wapatiwe vyet na watafute kaz. Tafadhal management mtimize ahad yenu ya katkat ya april,msilete tena longolongo. Thank u
Hii ni siasa???