wana jf hivi hawa UDOM walishaita watu kwa nafasi zote au wanaita kwa mafungu tu?Maana mm niliomba post ya IT kama Network Administrator lakini sijapata update zozote.Mtu yeyote mwenye kujua lolote juu ya post hiyo anijuze wadau!maana niko kizani na hali ishakua mbaya street