The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 701
- 1,522
Kiasi fulani kauli yako ina ukwelli ndani yake ,elimu ya ya degree inazidi kushuka thamaniWafamasia wa bongo,wanasomea ufamasia kuja kugawa dawa(dispensing)[emoji28],what a waste.
Kongole nyingi kwaoSafi sana hii itasaidia watu kuacha kugombania chuo kimoja cha serikali, ni jambo jema naiona mbali UDOM kwenye afya uenda ikaipiku MUHAS.
Layman point of viewWafamasia wa bongo,wanasomea ufamasia kuja kugawa dawa(dispensing)[emoji28],what a waste.
Both diploma and degree holders compete for one task ,kugawa dawa ,where is the value of our education?Layman point of view
umepiga kwenye mshonoWafamasia wa bongo,wanasomea ufamasia kuja kugawa dawa(dispensing)[emoji28],what a waste.
Layman point of view
Both diploma and degree holders compete for one task ,kugawa dawa ,where is the value of our education?
hii ni aibu kubwa sana haswa kwa hili baraza letu linalojiita baraza la wafamasiaInasikitisha sana,bongo hatuna wafamasia tuna wagawa dawa,wanavyojinasibu sasa eti community,clinical na industrial pharmacy,wakati kote huko wanasubiri kuagiza dawa na kuja kugawa kwa wagonjwa. [emoji706]
Drug discovery and development sio jambo la kitoto. Kunahitaji investment kubwa sana. Karibia vyuo vyote Bpharm 4 wanakua na research proposals nzuri sana zinazohusiana na hizo ishu lakini unaona kabisa kwa umasikini wa hii nchi haiwezekani.Vipi mfamasia umesha develop dawa ngapi hadi sasa??
Watanzania wengi afya zao zinakua matatani kwa kukosa huduma za kifamasia. Role ya pharmacist nchi hii haijaeleweka vizuri kwa watu walio juu. Ni hatari sana kuruhusu dawa ziwe chini ya watu wasio wafamasiaInasikitisha sana,bongo hatuna wafamasia tuna wagawa dawa,wanavyojinasibu sasa eti community,clinical na industrial pharmacy,wakati kote huko wanasubiri kuagiza dawa na kuja kugawa kwa wagonjwa. [emoji706]
Huwezi kueleweka vizuri isipokuwa kwa mfamasia mwenzakoWatanzania wengi afya zao zinakua matatani kwa kukosa huduma za kifamasia. Role ya pharmacist nchi hii haijaeleweka vizuri kwa watu walio juu. Ni hatari sana kuruhusu dawa ziwe chini ya watu wasio wafamasia