Udom yainyima raha udsm, je kulikua na sababu ya haya yote? Jibu ni ndio.

kwa hoja hizo inaonesha unasoma chuo BORA Tanzania, na waalimu wako ni bora pia safi sana kijana
 
Hapo unaposema intake ya udom inameza vyuo kumi unanipa tabu. Hebu toa data nikuelewe vizuri.


Sisi wa SUA tu mashabiki wa huu mchuano udsm vs udom
 
UDOM inadhalisha watu wa ajabu sana

Ndugu yangu umeshahudhuria interviews za kazi ngapi? Ukikutana na wanafunzi wa vyuo vingine utacheka ana first class degree hata kutunga sentensi moja kwa kiswahili hawezi hicho kidhungu ndo usiseme
 
HUYO JAmaa hana lolote hiyo organisation behavior anayosema amesoma mbona hainalolote, kuna manguri tumepiga social pschology na kukuona kuwa umekuwa afected psychologicaly kusoma chuo usichotarajia(udom) sasa unataka kupoonda kingne ili uweze kubalance your self esteem au kujiridhisha. huwezzi kusema prof akimbie udsm aje udom bila utaratibu maana vyote ni vyuo vya umma na yy ni muajiriwa tu.UDOM bado sana hata kuoga hamjajua mjini hamuendi ha ha haaaaaa
 
Mi hapa ni ADMIN wa UDOM ndio Home,nadhani huelewi unachokisema kaka.
Kwanza lile so kundi,ile ni page.
Habari ya wastaarabu wachache ndo naiskia kwako mayb unieleze kvp?
Na cdhan kwa tuhuma zako hzo km tungeweza kuwa na idadi kubwa ya LIkes km zile.
wise up bro.
 
kweli we ndo father of all idiot. Leo hii tukisema serengeti ni moja ya maajabu saba ya dunia kesho asubuh unataka wawe wamesha iweka kwenye guiness book of records. That is the matter of time.

serengeti ni moja ya maajabu saba africa na si dunia. Kajipange
 
Dogo soma acha kutumia masaburi kuchambua mambo!Hiyo UDOM haiwezi hata kulinganishwa na St Augustine achilia mbali UDSM.Hiyo pambanisha na Eckenford

hakika huo ndio ukweli, UDOM ni level za eckernforde
 

sisi UDOM kuifikia UDSM majengo yetu yatakuwa yameanza kuanguka maana saa hizi cracks kibao. Tujipange labda baadae sana
 
Binafsi nimesoma UDOM lakini huwa naamini na nitaendelea kuamini kwamba hata usome Oxford University kama huna upembuzi wa fikra na muktadha(critical discourse analysis) ktk utendaji wako we ni kilaza tu! kwa sisi pioneers tuliosoma UDOM mazingira ya kusomea yalikua magumu lakn tulipata msaada kutoka UDSM mwenye akili hawezi kubisha hili!!!!
ushauri wa bure huwezi kulinganisha chuo kwa sababu za kikuda kama hizo hapo!!!! Jipangeni kwa hoja
 

Ungekuwa umesoma na kuelewa organizational behaviour,usingeandika ulichoandika hapo. Yaani umekaa chini na kuibuka na changamoto za uongo kuhusu UDOM. Hébu jibu haya,
1. Hebu tuambie UDOM ina uwezo wa kudahili wanafunzi wangapi kwa mwaka mmoja wa masomo. Chuo gani kimewahi kulalamika kuwa hakijapata wanafunzi wa kutosha na mwaka gani since 2007 to date?
2. Toa uthibitisho wa kashfa iliyotolewa na vyuo vingine dhidi ya UDOM. Kama chuo hakina wahadhiri wa kutosha,huwa kinaazima kutoka vyuo vingine(VISITING LECTURERS na wengine PARTY TIME LECTURERS) (sio lectures kama ulivyoandika,ni lecturers). Dr. Mwamfupe alikuwa Duce but alipekwa UDOM. Kumbuka waajiriwa wa UDOM na UDSM wote ni watumishi wa uma,ni sawa kumtoa mwalimu Azania Sec na kumpeleka Mwanza Sec.
3. Sifa gani hizo unazoongelea?wakati UDOM kinaanza ulikuwa darasa la ngapi?
NB.
UDOM haikuanzishwa ili kuleta ushindani na vyuo vingine. Kasome na kuelewa organizational behaviour,sio unakurupuka tu hapa kuleta mada usizozielewa. Then,kajifunze kuandika vyema na kingereza pia.
 

Ulivyo andika,ulicho andika na kiinglish chako cha hovyo....ni ushahidi tosha kuwa UDOM inatoa product mbovu sana....so to speak
 

Very sorry to say this: YOU ARE STUPID!
I am wondering if really you are learned fellow! You started with a very poor argument then followed with profoundly wrong premise in question mark!Your code switching and mixing leaves a lot to be desired. Writing style so wanting. The worst is your writing skills, you repeatedly misspelled the word LECTURES (instead of lecturers). Surprisingly, you are also caught in the web of factual fallacy. THE FACTS NOW;
1. There is no competition btn and/or among universities in Tanzania rather than their products in terms of graduands and/or graduates, research outputs, consultancy, etc. Remember, this is not national but universal.
2. UDOM is the only public university where a Tutorial Assistant is as powerful as professor in all academic dimensions like Single teaching, marking, grading and publishing results of a course/courses. This is indeed, an academic rape.
3. UDOM is the only university under sun that a Tutorial Assistant supervises a Masters' Degree Thesis/Dissertation. This is not to undermine the intellectual wealth of TAs, but here the issue of level and experience are of extra importance
4. UDOM is the only public university in Tanzania with extremely a few number of PhDs
5. The best known FACT so far, UDOM cultivates and inculcates RELIGIONISM more than Religious universities.
NB: UDOM is as good as other "GLORIFIED HIGH SCHOOLS" (not mentioned coz of security and status reasons), comparing it with UDSM products is as trying the power of Almighty God. (Is as equal as comparing between God and Satan; UDSM and UDOM respectively)
 
Top 100 universities in Africa, Udsm is number 6 and Herbert Kairuki Memorial is Number 98. For Tanzania only two universities
 

Jamaa kilaza sana hana argument kakurupuka tu na hiyo inaonesha jinsi gani UDOM ipo chini kitaaluma. Kuna demu flani alikuwa Tutorial Assistant wa Statistics UDSM anaitwa Bianka anawasumbua utadhani Prof. wakati yupo UDSM hakuwa na uwezo wowote wa kufundisha zaidi ya kupewa kazi ya kuandika notes ubaoni
 

udom wanaweza wakachangia watoto wetu kufeli kwa sababu mara nyingi wengi wanaodailiwa ni div 2 na 3 zilizochoka kwanza mnanuka ccm pumbaaf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…