Udom yainyima raha udsm, je kulikua na sababu ya haya yote? Jibu ni ndio.

umeisha angalia rank ya vyuo vikuu duniani hivi karibuni?hiyo ni sawa na secondary ya kata
 
Mbali ya majengo KIINIMACHO, hakuna kitu UDOM!

Naita majengo KIINIMACHO kwa sababu ni majengo ambayo ni mabovu sana kiasi kwamba miaka miatano ijayo yatahitaji matengenezo makubwa sana. Mlacha na Kikula wameiingizia nchi hasara kubwa sana.

Jicomment jakubumba
 
You are a father a real one...your son must keep on playing the ball...
 

Kuna mwanafunzi mmoja amehitimu hapo UDOM mwaka juzi...ameniomba nimuelekeze namna ya kuandika barua ya kuomba kazi...bad enough nilidhani anataka walau format ya barua ..kumbe na maneno ya kiingereza pia ameishiwa ..niliogopa.Coz pamoja na Kiinglishi changu kibovu yeye(Graduate )anaomba msaada kwenye tuta...nikaogopa..
 
"Inafahamika kuwa UDOM ni chuo kikubwa na sio chuo kikuu"
Pole mtoa thread kwa machungu uliyonayo baada ya kutemwa UDSM,SUA,MZUMBE,SAUT n.k
 
asante mkuu kwa kumuelewesha hlo. ajipange tena ktk hoja
 
udom bado ni chuo kchanga sana....mwalimu mmoja nafundisha wanafunz 2000....mfano somo kama code MS or QM
 
udom bado ni chuo kchanga sana....mwalimu mmoja nafundisha wanafunz 2000....mfano somo kama code MS or QM
 

Heheh umeona eeh? 'Nzumbe' oyeee!!! Wasalimie Mtwara Mikindani mkuu
 
udom wanaweza wakachangia watoto wetu kufeli kwa sababu mara nyingi wengi wanaodailiwa ni div 2 na 3 zilizochoka kwanza mnanuka ccm pumbaaf

Una uhakika kuwa wanaodahiliwa udom wana div.2 na 3 tu?Ur nosense! Think thrice
 

non sense! Think logically before you speak out! You lack philosophical aspect of your mind
 
Mbona kuna vijana mnapinga hii thread bila hoja za maana ila kwa kumshambulia Mtoa post kwa maneno makali as if amefungua ukurasa wa malumbano bila logic? Onesheni usomi wenu hapa ki uchambuzi na sio hasira bana ebooo!
 
hao madogo wa Udom wanajuta TCU kuwapeleka huko Dodoma wanayoyaandika ni namna tu ya kupunguza machungu vp boom mmepewa kweli msije mkawa mna njaa ndio maana blablaa nyingi!
 
source please. no data no right to speak. how?????????? if you are talking on the basis of quantitative turnover well Udom is leading however you shall be disappointed when you learn that this quantitave turnover is meaningless. udom graduates are not as competitive as counterparts from Udsm and SUA. Surely if you go to an interview with Sua and Udsm graduates alongside, you shall be disappointed because you stand to be a looser at any rate in all aspects of expertise and self skills. remember at one time interview panels held banners stating clearly that interviewers should recruit all candidates except those from Udom and one reserved college. what does it mean; NO FEAR FROM UDOM AS YOUA RE TRYING TO IMPLICATE HERE. THIS MAY TELL US WHETHER THERE IS ANY FEAR UDOM EXISTENCE IN THIS REGARD AND PROBABLY WHAT YOU ARE SAYING IS TRUE OR NOT. UDOM MUST CHANGE TO REFLECT THE TRUE APPROACH TO HANDLING AND ADMINISTERING UNIVERSITY EDUCATION WHATSOEVER.
 
This is a fantastic scenario. How on earth can it happen. What does a tutorial assistant attend in a master degree class. This state of affairs is academically so demanding.
 
Shule za kata products at work
 
ukiwa na 1500 unapata mademu watatu,mmoja jero tu! kwa hiyo lazima muizidi udsm
 
Mbona kuna vijana mnapinga hii thread bila hoja za maana ila kwa kumshambulia Mtoa post kwa maneno makali as if amefungua ukurasa wa malumbano bila logic? Onesheni usomi wenu hapa ki uchambuzi na sio hasira bana ebooo!
Hii hoja haina haja ya kuonesha usomi wowote kwa sababu haisaidii chochote.Foolish question always deserves foolish answer.
 
umetoa mifano mingi sana inayohusu chuo kikuu cha dodoma kwa kulejea organizational behaviour katika hili mimi sipingani na wewe ila tu ninachokiona ni kuwa ulichokisoma huko udom au kwingineko ni kitu kimoja na uhalisia wa jambo ni kitu kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…