Udom

balongo

Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
10
Reaction score
0
Wana jf mwenye data atujuze kuhusu waliofanya oral interview wameshaitwa kazini?
 
Hata mimi nilifanya tangia January mwanzoni lakini bado sijaitwa pamoja na kupata taarifa kutoka kwa wenzangu, ila nimesikia mwishoni mwa mwezi huu wa pili au mwanzoni wataita.
 
watu wa fani mbalimbali wanaendelea kuitwa hata mimi kuna jamaa yangu alishaitwa
 
watu wa fani mbalimbali wanaendelea kuitwa hata mimi kuna jamaa yangu alishaitwa
Hivi ni fani zipi wameshaitwa ili tuendelee na mambo yetu. Nao wangetoa tu majina kwenye mtandao wao.
 
Jaman hata mimi nlfanya inter hapo toka december 15 mpaka leo,embu 2juzane akina nani wa kada zp wameitwa?
 
Ndugu yangu unategemea sana ajira za udom?hao hawana lolote,mizengwe kibao!no transparency at all,ni chuo ambacho mambo yake siyakubali !subiri ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…