Ndugu yangu unategemea sana ajira za udom?hao hawana lolote,mizengwe kibao!no transparency at all,ni chuo ambacho mambo yake siyakubali !subiri ndugu.
kada gani nyie?Kwa mtazamo wangu hawajaitwa kazini kwa sababu oral interview bado znaendelea kwa kada nyingine. Kama sis tumefanyiwa jana.
kada gani nyie?
Hata mimi nilifanya tangia January mwanzoni lakini bado sijaitwa pamoja na kupata taarifa kutoka kwa wenzangu, ila nimesikia mwishoni mwa mwezi huu wa pili au mwanzoni wataita.
Kwa mtazamo wangu hawajaitwa kazini kwa sababu oral interview bado znaendelea kwa kada nyingine. Kama sis tumefanyiwa jana.
Jmani mi nadhani tuwe na imani tu na UDOM kama wasingekua wawazi nadhani wasingeita watu kufanya kazi,mvumilivu cku zote ndo hula mbivu