Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenu wan JF, leo nimefuatilia dondoo za magazeti kwenye vituo vya tv vya MLIMANI TV, CHANEL 10, lakin sijaona wakigusa magazeti ya MWANAHALISI na RAIA MWEMA, nijuvyeni jamani, wamekatazwa au wameyakosa?
Mimi nitakua NikiimbaZumbe, mbona hilo ni la kawaida? Umeishawahi kuyaona yakidondolewa TBC? ITV? Lakini hata wafanyeje, mwaka huu tunao tu. Majina yao tunayaorodhesha...Their Days are Numbered.