Hii ndio maana mko kwenye ile kundi ya LDC. ubomoaji wa nyumba na vitu kama hizo ni jambo la kawaida sana na hutokea kila mahali sehema mbali mbali duniani. just a few years ago, watu walibomolewa nyumba zao kule London, uingereza kuwezesha upanuzi wa uwanja wa ndenge wa Heathrow. as long as people are compensated, what's wrong with that? Nyinyi endeleeni kuimba wimba wa ujamaaHatuwezi kwa sababu ya mpangilio na adha ya utawala, husikii mombasa watu wamevunjiwa nyumba Ili ujenge Barabara ya mkopo unaolipwa na Kodi inayotokana na wahanga hao hao, hatuwezi kwa sababu unawanyima makazi, halafu pia unabomoa rasilimali walizotoa Kodi yao kujenga, kwa kifupi hatuwezi
Nenda kawaambie watu wa kimara compensation mmepata, halafu uone watakufanya niniHii ndio maana mko kwenye ile kundi ya LDC. ubomoaji wa nyumba na vitu kama hizo ni jambo la kawaida sana na hutokea kila mahali sehema mbali mbali duniani. just a few years ago, watu walibomolewa nyumba zao kule London, uingereza kuwezesha upanuzi wa uwanja wa ndenge wa Heathrow. as long as people are compensated, what's wrong with that? Nyinyi endeleeni kuimba wimba wa ujamaa
issue yako haikuwa ni iwapo watu walifidiwa au la. Shida yako kubwa ilikuwa ni ubomoaji wa nyumba kwa sababu kwa akili yako unaona hiyo ni unyanyasaji especially pale ulipotaja kodi na kuwanyima watu makazi. Hapo ndipo nilitoa example ya Heathrow. Kwa taarifa yako watu wote walifidiwa ndo maana hata hiyo project ya dongo kundu ikaendelea japo lazima kuwe na tetesi za hapa pale kuhusu compensation na hilo ni jambo la kawaida sana when It comes to compensation. Kwa mara ya pili, endeleeni kuimba wimbo wa ujamaa na cha chama chenu tukufu CCMNenda kawaambie watu wa kimara compensation mmepata, halafu uone watakufanya nini