udoso iwe bendi ya taarabu

namboyo

Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
58
Reaction score
6
viongozi wa serekali ya wanafunzi chuo kikuuu cha dodoma imefwananishwa na bendi ya taarabu kwa mfano viongozi hao ambao ni wabovu ambao hawajawahi kutokea taangia chekechea na shule za msingi zianzishwe wamekuwa wakiwa wanasababisha ukandamizaji mkubwa wa wanafunzi kuanzia suala upatikanaji wa mikopo mpaka hata maji ya kuogea hapa chuoni kila wanapoulizwa husema kuwa wanaogopa kukuata na viongozi hivi hawajamaa hawafai hata kuwa wajumbe wa nyumba kumi kwa hiyo hawashili kupata wazifa wawote msije mkawapa nafasi mkisema labda ni wasomi kumbe ni waganga njaa tu
 
Unategemea UDOSO watakuleteaje maji, wakati unajua mji wa Dodoma una matatizo makubwa ya maji?! Af na hao Ma Warden na Ma block leader wanakazi gani hadi muanze kuwalaumu UDOSO wanaogopa kuonana na uongozi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…