UDOSO mafisadi wakubwa

UDOSO mafisadi wakubwa

namboyo

Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
58
Reaction score
6
serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha dodoma imekumbwa na ufisadi mkubwa zaidi ya shilingi mia hamsini nane milioni wahusika mwenyekiti coed na spika coed .pia viongozi wa wanafunzi wa chuo cha dodoma wamefanya ufisadi mwingine wa kwenda afrika kusini bila idhini ya wanachuo pia viongozi hawa wametumia pesa za wanafunzi kwa anasa kwenda kuzurura afrika kusini .pia ufisadi mwingine umefanywa na viongozi wa federation kuchukua hela zaidi ya walizo pangiwa wahusika na kufanya matanuzi,kwa sababu hiyo basi tunawaomba wanafunzi wote wa chuo cha dodoma kuwachukulia hatua pamoja na kuwashitaki mahakamani kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania ili kukomesha tabia ya ufisadi inayofaywa na viongozi wa serikali ya wanafunzi kuanzia serikali ya kwanza hadi iliyopo sasa
 
Back
Top Bottom