Hivi karibuni Ofisi ya Msajili wa vyama ilivitetea Vyama vya TLP na UDP kuwa baada ya kuonywa vilisitisha mpango wao wa kumuunga mkono mgombea wa CCM kwa vile ni vyama sikivu.
"Kwa hiyo vyama hivyo ni sikivu, vile ambavyo siyo sikivu (CHADEMA na ACT-Wazalendo) tutavichukulia hatua.” alisema Sisty Nyahoza.
Leo John Cheyo kasisitiza bado wanamuunga mkono mgombea wa CCM. Msajili atatuambia nini, naona lengo lao la kutoa karipio kwa CHADEMA na ACT limebuma.