Kila wanachopanga kinawaumbua.Unaweza kukuta ni mchezo unachezwa na msajili na hicho chama, kisha usikie wanasimamisha vyama vyote vinavyounga wagombea wa vyama vingine kushiriki uchaguzi. Kumbuka hicho chama cha Cheyo hakiwezi kupata kiti chochote kuanzia udiwani, ubunge mpaka urais kwenye uchaguzi huu. Rejea kuwa sasa hivi cdm wakipeleka malalamiko yao tume ya maadili hayapokelewi.
CCM kwa CCM wanalumbanaNchi haiishi vituko lakini huyu msajili msaidizi bwana Sisty Nyahoza ni zaidi ya kituko kwenye uchaguzi huu
Inaudhi sana kwa huu mchezo wa kijinga wa ccm na washirika wake NEC na Msajili wa Vyama.CCM kwa CCM wanalumbana
Ni watoto wa baba mmojaInaudhi sana kwa huu mchezo wa kijinga wa ccm na washirika wake NEC na Msajili wa Vyama.
Geresha hao,wasitudanganye.CCM kwa CCM wanalumbana
KabisaGeresha hao,wasitudanganye.
Hili sio tishio na wala sio plan kwa sababu kama ni kufuta vyama vinavyounga mkono vyama vingine maana yake ACT ndo itakufa na chadema ndo itabaki.Unaweza kukuta ni mchezo unachezwa na msajili na hicho chama, kisha usikie wanasimamisha vyama vyote vinavyounga wagombea wa vyama vingine kushiriki uchaguzi.
Kumbuka hicho chama cha Cheyo hakiwezi kupata kiti chochote kuanzia udiwani, ubunge mpaka urais kwenye uchaguzi huu. Rejea kuwa sasa hivi cdm wakipeleka malalamiko yao tume ya maadili hayapokelewi.
Watabsdili gia angani na kusema hamkunukuu vizuri, wao walisisitiza kuwa kama UDP wangechelewa wasingewaruhusu, nyie mkapindisha kuwa walichelewa!Hivi karibuni Ofisi ya Msajili wa vyama ilivitetea vyama vya TLP na UDP kuwa baada ya kuonywa vilisitisha mpango wao wa kumuunga mkono mgombea wa CCM kwa vile ni vyama sikivu.
"Kwa hiyo vyama hivyo ni sikivu, vile ambavyo siyo sikivu (Chadema na ACT) tutavichukulia hatua.” alisema Sisty Nyahoza.
Leo John Cheyo kasisitiza bado wanamuunga mkono mgombea wa CCM. Msajili atatuambia nini, naona lengo lao la kutoa karipio kwa CHADEMA na ACT limebuma.
View attachment 1597451
Vipo Chadema kusema kule Zenji wanamuunga mkono Maalimu Seifu?Hili sio tishio na wala sio plan kwa sababu kama ni kufuta vyama vinavyounga mkono vyama vingine maana yake ACT ndo itakufa na chadema ndo itabaki.
Na kama kuifuta chama kinachoungwa mkono na vyama vingine wakiikusudia chadema basi na CCM pia itabidi waifute kwa sababu nacho kinaungwa mkono na vyama vingine.
Kwa hiyo hakuna plan hizo
Hivi karibuni Ofisi ya Msajili wa vyama ilivitetea vyama vya TLP na UDP kuwa baada ya kuonywa vilisitisha mpango wao wa kumuunga mkono mgombea wa CCM kwa vile ni vyama sikivu.
"Kwa hiyo vyama hivyo ni sikivu, vile ambavyo siyo sikivu (Chadema na ACT) tutavichukulia hatua.” alisema Sisty Nyahoza.
Leo John Cheyo kasisitiza bado wanamuunga mkono mgombea wa CCM. Msajili atatuambia nini, naona lengo lao la kutoa karipio kwa CHADEMA na ACT limebuma.
View attachment 1597451
HapanaVipo Chadema kusema kule Zenji wanamuunga mkono Maalimu Seifu?
Hili nalo nenoUnaweza kukuta ni mchezo unachezwa na msajili na hicho chama, kisha usikie wanasimamisha vyama vyote vinavyounga wagombea wa vyama vingine kushiriki uchaguzi.
Kumbuka hicho chama cha Cheyo hakiwezi kupata kiti chochote kuanzia udiwani, ubunge mpaka urais kwenye uchaguzi huu. Rejea kuwa sasa hivi cdm wakipeleka malalamiko yao tume ya maadili hayapokelewi.
tindo una akili kama siafu. Huu utakuwa ni mtego atiii. Sasa wameula wa chuya.Unaweza kukuta ni mchezo unachezwa na msajili na hicho chama, kisha usikie wanasimamisha vyama vyote vinavyounga wagombea wa vyama vingine kushiriki uchaguzi.
Kumbuka hicho chama cha Cheyo hakiwezi kupata kiti chochote kuanzia udiwani, ubunge mpaka urais kwenye uchaguzi huu. Rejea kuwa sasa hivi cdm wakipeleka malalamiko yao tume ya maadili hayapokelewi.
Chakuelewa hapa nikuwa ccm wenyewe maji ya shingo ndio maaana wanatapatapa huku wakijaribu kila njia ya kujinusuru,iwe halali au haramu,wao wanaangalia jinsi ya kujinusuru na zahama ya kimbunga Cha kokoto kutoka kwa hasimu wao waliomtengeneza kwa mikono yao wenyewe.Watabsdili gia angani na kusema hamkunukuu vizuri, wao walisisitiza kuwa kama UDP wangechelewa wasingewaruhusu, nyie mkapindisha kuwa walichelewa!