UDSM 2014 Graduates - Certificates are ready for collection

For the UDSM 2014 graduates (both Undergraduate and Postgraduate), your certificates are ready for collection.
Please see attachment.

Source: UDSM website www.udsm.ac.tz

Thanks for information broo!!
I ve seen the Atschment,,I think I have to collect mine as soon as pissible.
 
For the UDSM 2014 graduates (both Undergraduate and Postgraduate), your certificates are ready for collection.
Please see attachment.

Source: UDSM website www.udsm.ac.tz

Hizo attachmwnts mbona sina hata moja hapo itakuaje kuchukua chetii hahahahaaha
 
Hizo attachmwnts mbona sina hata moja hapo itakuaje kuchukua chetii hahahahaaha

Nadhaani cha muhimu zaidi ni kua na Transcrpt tu itakuwezesha kupata cheti chako....hata mie sina hizo nyingne
 
daaaah... hv watakubali kwel.. coz mm pia cna hzo attachments zngine.. hpa ninatranscript bac..

Lazima wakubali aisee kwa sababu mimi nina kitambulisho cha mpiga kura hicho ni tosha kaka wengine hizo passpot za kusafria hatuna cz ndege tunazionaga angani kama sio kwenye viwanja,,leseni ya gari sina pia ,kitambulisho cha Taifa ndo sina kabisaa !

No way they have to give me my certificate !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…