UDSM...Aris.

kalipeni

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
1,571
Reaction score
1,328
aris wana-ud wanakusubiri mbona kimya, ulituahidi mwezi huu unakuja please njoo ututoe presha wenzio usifanye kama alivyofanya MH370 wa maysia.
 
aris wana-ud wanakusubiri mbona kimya, ulituahidi mwezi huu unakuja please njoo ututoe presha wenzio usifanye kama alivyofanya MH370 wa malaysia.
 
bila shaka wewe unaanza kujifunza kuvuta bhangi jiangalie sana unapoelekea utaingilia EXIT
 
tulien nyie kila kitu knaenda kwa ratiba co mnakurupuka tu,almanac inaonyesha matokeo ni tarehe 9 mwez huu
 
Waache haraka!.
Hao wanaokurupuka hawapitii Almanac!!.
Subiria hadi taerehe 9.
Ikizidi hapo ndo Uulize ila sio kufedhehesha Chuo!!.
 
bila shaka wewe unaanza kujifunza kuvuta bhangi jiangalie sana unapoelekea utaingilia EXIT

navuta bangi kivipi tena kaka!! Jiheshimu mzee, some time kama huna coment unapita tu, P..MB.. ZAKO.
 
matokeo UDSE,CoICT,CoET tayari aris,CASS na UDBBS yanakaribia pia.
 
KAMA ULIFANYA VIZURI kwanini unawasiwasi mkuu? we tulia yatakuja tu
 
xaxa hatimaye udsm aris imeshafanya yake kaz kwetu tu kuangalia mayokeo na kujua tunajipanga vp,km sept conf tumo au hatumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…