Udsm booom!!

Udsm booom!!

OmmyQ

Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
27
Reaction score
1
wana udsm mnaoneje tuweze kuungana pamoja ili kudai haki zetu za misingi tukianza na BOOOM? ebu tuache uwoga banah kwani tusip
o angalia hati mae mpaka ------ yetu yatashikwa kiurainii!
 
hilo tangazo ungeliweka kwenye mbao za matangazo halafu ukasimama pale revolution square na kuhubiri ningekuona jasiri lakini nyuma ya keyboard hapana bado sana
 
Toa route usije tusumbua huku wakati umeacha mbao za matangazo Yombo, mabibo, hall 1 -7 ungeweka tangazo hilo muanzishe kunji....................
 
Kwani lilitakiwa lije lini boom maana kuna sms nilifowadiwa inasema hivi " Ndugu zangu wa vyuo vikuu tumieni vizuri pesa mlizonazo kwani serikali haijapeleka pesa bodi ya mikopo kwa ajili ya bunge la katiba..tegemea kupata boom mwezi wa sita au wasaba...mjulishe na mwenzio ili atumie vizuri pesa zake...."
 
udsm sasa kama teku tuu,,yaan watu wameo kweli kweli watu wanang'ang'ana kukopa wakati ela zao zinatumiwa na wanasiasa,,,daaaah aisee udsm ni r.i.p
 
manina zao serikal na maccm..yamepuna mpunga wote pale mjengoni.Serikal inafanya kusud ikujua fika hakuna chuo chchte kinachoweza kuorganize mgomo km zamani!.2we wapole2..apa ni kilio cha samaki wakuu
 
mtakula mlipopeleka kura(vifungu) mngemchagua mboya

huyo mboya ndo nani?
ila poleni tatizo kwa sasa serikalini kwa sasa hakuna fedha za kutosha mishaha imelipwa kwa mbinde..waliolipwa kwa wakati ni polisi na Jw tu wengine mpaka juzi ndo wamelipwa ila kwa wanafunzi mtapata fedha zenu kuanzia tar 8 i hope
 
huyo mboya ni nani rais wa nchi au waziri wa fedha au waziri wa elimu acha ujinga msomi ww!!!Rais wa daruso hawezi kufanya chochote nje ya utaratibu wa chuo!!
 
tuache ubwege wakat tunashindia matunda hafu hiz habar eti serikali imetumia fedha zote nani kazileta kwanza
 
Ongea na wadogo zenu wa Ardhi university wanaweza kuwaunga mkono maana pale hamna Mabishoo wapaka poda,wanyoa viduku na wavaa mlegezo kama wala wabana pua kama hapo Mlimani.Mkikomaa wenyewe hamtaweza kumbuka kuna mamluki miongoni mwenu(Watoto wa JKT).
 
Sisi tuliikuta UDSM ya kina mkili imepita nasikia ilikuwa noma,ikaja yetu ya kina mwita mwikwabe,bahati tweve,tukaiacha ya akina mtatiro,sasa UDSM ni boya tu hakuna kitu pale
 
Back
Top Bottom