SAMORE TOURE
Senior Member
- Aug 5, 2012
- 116
- 9
kuna tatizo ambalo lilijotekeza mwaka jana na mwaka huu pia! Tcu walionesha tution fee ni 1million..lakn fee str ya chuo ilikua 1.3 million....so kuweni makini hili tatzo nimeliona tena mwaka huu fee kulingana na tcu wameweka 1 million bt jueni ni 1.3 m..... Karibuni vijana ulimwengu wa mathematics!