UDSM cha 25 kwa ubora Africa na 4,229 Duniani

In Tanzabnia kwa ubora wa vyuo Dar es Salaam haiwezi kuwa juu. Wametumia vigezo ambavyo si yakinifu. Kwa Tanzania vyuo kama SUA may be the best kwa ubora wa elimu. Kingekuwa bora Muhimbili isingejitoa.

WW umekurupuka nani kakwambia muhimbili ilijitoa udsm sababu ya ubora? acheni kuropoka vitu msivyo vijua hizo ni taratibu za kupanua huduma za mashirika ya umma. unafikiri vyuo vya umma wanafanya kama vikundi vya saccos bila utaratibu acha ushabiki dogo unaonekana huna elimu ya kufikiri .
 

Toa hoja! Wewe ndo umeshindwa kufikiri hata kidogo dogo.
 
In 2006 university of Dar es salaam was 12th in the continent. Since then it has been a downward spiral, if no measures are addressed the current trend if interpolated to 2030. Udsm will be below 100.
 
In 2006 university of Dar es salaam was 12th in the continent. Since then it has been a downward spiral, if no measures are addressed the current trend if interpolated to 2030. Udsm will be below 100.

Give us the scientific basis of your forecasts!!
 
Mimi napinga hoja hii. UDSM imepanda sana kwa ubora Africa mwaka huu na ni cha sita (6) out of 100. Mtoa hoja ametumia data za 2010/2011. Kwa Tz ni UDSM na SUA tu vimeingia best 100 universities in Africa.
 

mkuu watakubishia sana ila sijui kama watu wanajua maana ya web ranking universities link na hata ukiisoma kiundani wanakuambia kabisa wao hawaangalii ubora wa elimu kwenye kulist hivyo vyuo bali in web ranking ya pili iko sahihi kabisa, hata kusoma watu wanashindwa jamani?
 
sua ya 92 . Not bad anyway
 
Ni kweli vipi Sokoine University ni ngapi??
.
sokoine university of agriculture ni cha 92 na cha 8,761 duniani. hiyo ndio halihalisi vingine kama mzumbe , udom nk. haviko hata kwenye orodha hiyo nafikiri viko considered kama associate universities kutokana na facillities, manning level(idadi ya maprofessor dhidi ya wanafunzi; yaani prof:student ratio, reputable results from research projects, new developments in scientific discoveries, dissemination of technologies etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…