UDSM chapaa Afrika;sasa cha sita!

yani watu kama nyie ni ma-pimbi, wewe unabaki kila siku udsm cha paa so what? wewe kazania hiyo knowledge unayoipata ili ikusaidie kupambana uraiani na sio hizo shudu zako! msomi mzima kung'ang'ana leo kimekuwa cha tatu, kesho cha kwanza haitakusaidia kitu ni ulimbukeni take my word!
 

Maneno Mujarab haya..
 
Hata hii ni habari Mkuu.Lakini mimi si pimbi. Ni vyema tukajua hata habari kama hizi ili kuendelea na maisha. Siku nyingine ukiniita pimbi,utajilaumu sana kufanya hivyo!
 



Unasoma chuo cha kata nini? Mbona jazba!
 
Wa vyuo vingine utawajua tu. Kikitajwa UDSM...vibration.Acha hasira,taguta chuo chako hapo
 
sio ulimbukeni kabisa,mtu lazima aonee fahari chuo alichosoma,kisaikolojia hilo lipo tu,labda kama ww hujasoma hapo poa,ila tuliosoma hapo na tunaoendelea kusoma hapo tyunajisikia raha sana UDSM kuwa juu........ni hilo tu
 
hasira za nini?
 
Udsm kweli ni cha 6 africa,lakini hapa Tanzania cha kwanza ni "Mtaani University", kuna wadogo zetu nao wamemaliza hapo Udsm,lakini sasa ni mwaka wa tatu wameshindwa kumaliza Mtaani University,kila wakifanya mitihani ya ajira wanapata Supp tu.Angalieni sana wadogo zetu,dhambi ya kujiaona bora kwa wasio bora itawatafuna sana.
 
namba 6 ni kwa ajili ya WEB VISIBILITY ndugu zanguni wasomi eleweni kwanza..
 
wanaopinga wote ni wale wa KATA UNIVERSITIES. over
 
Rubbish!!mnashindwa kufanya kazi kwa bidii,eti udsm sijui cha 6
sijui cha 1,udsm my a.ss
 

Mimi naona wewe ndie limbukeni - hata hujui maana na umuhimu wa "University ranking" .
 
namba 6 ni kwa ajili ya WEB VISIBILITY ndugu zanguni wasomi eleweni kwanza..

Una maana ya kuwa hivyo vyuo vyingine vya Tanzania ukitoa UDSM na HKU hata na web visibility umewashinda - havijulikani? Lakini naona wewe hata haujui maana na vigezo vya "web visibility" academically.
 
Mkuu mtoa hoja umeangalia criteria wanazotumia?Umeelewa maana ya UNIVERSITY WEB RANKING? Umejua ubora wake ni unatokana na nini?


Hebu soma homepage ya hiyo website ujue criteria wanazotumia.

[TABLE="width: 745, align: center"]
[TR]
[TD][h=5]The aim of this website is to provide an approximate popularity ranking of world Universities and Colleges based upon the popularity of their websites. This is intended to help international students and academic staff to understand how popular a specific University/College is in a foreign country.[/h]
[h=5]We do not claim - by any means - to rank organisations or their programs, by the quality of education or level of services provided. The 4icu.org University Web Ranking is not an academic ranking and should not be adopted as the main criteria for selecting a higher education organization where to study.[/h]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Hayo ni mawazo yako finyu na ya -generalise!! Nani kashindwa kazi!

Huwezi kuleta thread ya kijinga namna hii unless otherwise huna kazi na kushindanisha vyuo
sijui.Bure kabisaa
 
Mi sio mtoto mwenzako,afterall sijasomea tz na udsm yako...
Vipaji unawajua wewe,hizi ndio akili za kina mwigul.u
nani kakuambia mie mtoto? na nimesema sangapi kuwa nami nimesomea tz? mie sijasoma udsm ila nilichaguliwa udsm.. na nakikubali sio cha kata kama vingine..lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…