UDSM : CHUO CHA 13 KWA UBORA AFRICA. TANZANIA NI NCHI YA NNE AFRICA Kwa Chuo Bora.

that is web ranking,its very minor,waje mliman kwa wiki moja tu kukagua ubora wa elimu kama mliman haijawa ya mwisho,kinachoibeba mliman kwa sasa ni history yake,kizazi cha kina Prof. Shivji Kikiondoka UDSM itaporomoka vibaya mno,wanataaluma wa siku hizi hawaumizi vichwa kabisa..Wana UDSM tusijidanganye,tuchukue hatua ya kukiokoa chuo chetu
 

Nakubaliana na wewe mia kwa mia mzee unachosema kuhusu UDSM kubebwa na historia.
Unaposema wana-UDSM tuchukue hatua kukiokoa ndo hapo nachoka,kwa sababu wenye dhamana wengi ambao kisheria na kidhamana wanapaswa kufanya something walipitia UDSM lakini nobody cares,nini tutafanya unafikiri?individuals hatutafika popote kama system ambayo ina-control kila kitu pale UDSM is rotten.

kazi ni kubwa mzee!
 

Huo ubora umebase kwenye nini? hebu fafanua vizuri
 
Hapana si ya nne.tazama vizuri.ufaulu wowte wa shule hatuangalii mwanafunzi gani ameingia katika top ten ila jumla ya wanafunzi walofaulu katika darasa zima.amefaulu mmoja na wengine wamefel hapo shule hiyo haijafaulisha.lakin kama wanafunzi wote wamefaulu lakini hakuna daraja la kwanza shule hiyo imefaulisha kuliko ile iliyotoa daraja la kwanza kwa mwanafunzi mmoja.ndicho tunachokiona hapo kati yetu na kenya au algeria.
 
Kiko stagnant!! Leo Nairobi kiko juu yake wakati miaka mitano iliyopita Nairobi kilikuwa chini sana.
 
Sababu ya kutotoa Mchango katika Jamii
Pia ma Prof wamekuwa Stagnant yaani hawataki kuwa up to date
 

Hapo kwenye bold (Mzumbe) umepatia kabisaaa, yaani ni hakuna kitu. Mtu unapiga Masters yako mpaka graduation hakuna presentation wala nini. Imagine unaenda kuwa lecturer. Kuhusu huyo wa UDSM mh mashaka matupu isije kuwa ulimbeba wakati hana sifa Mkuu
 
Hapo kwenye bold (Mzumbe) umepatia kabisaaa, yaani ni hakuna kitu. Mtu unapiga Masters yako mpaka graduation hakuna presentation wala nini. Imagine unaenda kuwa lecturer. Kuhusu huyo wa UDSM mh mashaka matupu isije kuwa ulimbeba wakati hana sifa Mkuu

UDSM ni kama sharobaro ambaye amejinyea lakini anapita mtaani huku hajui kama amejinyea
 

nAKUBALIANA NAWE NDUGU YANGU. TUNAKAZI KUBWA BADO. HUYO MTOA THREAD HII AANGALI NA MTANDAO HUU
Ranking Web of World universities: Top Africa AMBAPO UDSM ANAYOIFAGILIA NI YA 34 KWA AFRIKA KATIKA VYUO VIKUU BORE 100; NA NI YA 3415 KI DUNIA!! BADO TUNASAFARI KUBWA YA KWENDA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

NASHAURI UTUMIE WORLD RANKING NDO UTAPATA PICHA HALISI YA UDSM NA VYUO VINGINE DUNIANI KULIKO MTANDAO ULUOTUMIA
BOFYA HAPA: Ranking Web of World universities: Top Africa UONE UDSM YAKO NI 34 AFRIKA NA NI 3415 KIDUNIA
 
Na open university of tanzania ni cha ngap wadau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…