Hizo rank ni web ranking Jaman,, just web,,,, we soma chuo utoke wangapi ni ma Finance Manager na wengine wamejiajiri na wamesoma CBE,,, huu ni utoto wa form six na nyie mlioko vyouni njoo kitaa,, uone IFM yupo kazin we UD una mbwela na wengine UD yupo kazin na wewe UD mwingine ana mbwela tu kitaa,,,