W waltkim86 New Member Joined Feb 16, 2014 Posts 4 Reaction score 0 May 27, 2014 #1 Habari, Kuna yeyote amewah fanya mitihan kwa ajili ya certificate tajwa hapo juu? Ningependa kujua mitihan inakuaje.. shukran
Habari, Kuna yeyote amewah fanya mitihan kwa ajili ya certificate tajwa hapo juu? Ningependa kujua mitihan inakuaje.. shukran
VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 6,137 Reaction score 17,908 May 27, 2014 #2 hakuna kitu kama hicho.kalale tena halafu uamke upya
W waltkim86 New Member Joined Feb 16, 2014 Posts 4 Reaction score 0 May 27, 2014 Thread starter #3 kisa-na-mkasa said: hakuna kitu kama hicho.kalale tena halafu uamke upya Click to expand...
W waltkim86 New Member Joined Feb 16, 2014 Posts 4 Reaction score 0 May 27, 2014 Thread starter #4 Nasikitika kukuambia kipo, na kama hujui kitu.. Kaa kimya
BARA BARA YA 5 JF-Expert Member Joined Sep 11, 2009 Posts 1,174 Reaction score 835 May 27, 2014 #5 mimi nimefanya,lakini hakuna jipya zaidi wala usihangaike kusoma usiku kucha,ni mtihani ambao una-reflect uwezo wako ki-ujumla na sidhani kama utashindwa!!!kuna Prof mmoja mtu mzima alinifanyia assesment na kwa kwli alikuwa fair sana!!
mimi nimefanya,lakini hakuna jipya zaidi wala usihangaike kusoma usiku kucha,ni mtihani ambao una-reflect uwezo wako ki-ujumla na sidhani kama utashindwa!!!kuna Prof mmoja mtu mzima alinifanyia assesment na kwa kwli alikuwa fair sana!!