UDSM faculty of Law imeoozaa St Agustine Chatoa wanasheri Bora TZ.

Hiviiiiii mtu aliyepata two hawezi kuwa mwanasheria bora? Mimi ninachoona hapa ni kumuangalia mtu utendaji sio kusema kasomea wapi?
 
 
 
Mods, tafadhali hemu msiwe mnaziruhusu mada za namna hii kuwepo humu jf, hii inalipunguzia heshima jukwaa la elimu na jf kwa ujumla.

Hatuwezi kupambanisha vyuo vyetu hapa nchini, wakati tunajua fika hali halisi ya mfumo wetu wa elimu iko vipi.

"hakuna aliye mbora wa mwenzie kwa kigezo cha chuo."
 
Who are Great Thinkers? Mleta uzi ameleta evidence ya masuala ya kitaaluma ambayo wanafunzi wa sheria hawayapati kwa upande wa UDSM,lakini wale wa SAUT wanayapata...Hoja hapa ni kwamba,je ni halali wanafunzi wa sheria wakose mafunzo kwa vitendo kwa kuwa tu wengi wao walikuwa na division one? Pili,hata kwa common sense kwani hatujawahi kusikia yule aliyepata div.1 form four then akapata three form six,sasa tuseme haiwezekani wale waliopata div.1 na kujiunga UDSM kuhitimu chuo wakiwa incompetent kutokana na mleta uzi alivyoainisha.Let's be radical to solve our problems out of being crazy of history of UDSM...how many graduates of our university signed illogical contracts which robbed the nation?
 

wewe ni mmoja wao waliokosa nafasi UDSM
 
Kila kukicha ni ubishani wa vyuo, when are you people going to grow up and realize kwamba kusoma chuo gani sio issue bali elimu yako/yenu mmeitumia vipi katika kuisaidia nchi yenu,its pathetic kuleta thread za ubishani wa kijinga humu ndani 😛oa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…