KYALUMUKUNZA
Senior Member
- Aug 19, 2012
- 145
- 28
nimeingia kwenye website ya udsm ada zimebadilika mfano kwa wanafunzi wa sheria imeshuka toka 1,500,000. to 1,380,000.lakini sijui kwa kozi zingine kama zimepanda au zimeshuka nawaomba mcheki kwenye website ya chuo University of Dar es Salaam - Tanzania - Home - mtaona mabadiliko katika ada naomba kuwakilisha.
Umechanganya madawa mkuu
tatizo ni uvivu wa kusoma nimekuambia angalia vizuri wetsite ya udsm fungua 1st year students fee variations utaona kuna ada iliyokatwa toka board na ada iliyobaki kwa mwanafunzi ili ailipe yaani student fee remaining (sfr) kwa wanafunzi wa sheria jumla ya ada inakuwa 1380000 na si 1500000 usiwe mvivu wa kutafiti.
ndugu mi cjaelewa kabisa naomba unieleweshe.......!pale kwenye sfr wote sheria wameandikiwa sh laki moja n kwenye tuition fee mwingine kaandikiwa sh 1412000 cjaelewa ada ndo ipi hapo.....1naomba unijuze ndugu?
sfr inamaanisha special faculty requirements, hlf aliandikiw tuition fees 1412000 maanake kweny mkopo wak hiyo ndiyo anayolipiwa, inayobak ambayo ni 88000 anailipa mwenyewe, hope emenipata