P Accountant
JF-Expert Member
- Sep 26, 2020
- 371
- 182
Utapata tu Mkuu,Ngoja waje wengine tunasubir ya majibu ya round2
thanks mkuu nina matumaini hayo pia mungu anisaidieUtapata tu Mkuu,
Amen, Imani ni kuwa na hakika ya yale uyatarajiayo.thanks mkuu nina matumaini hayo pia mungu anisaidie
Shukrani, hakika tutapambana haswaaaMkasome..udsm sio pa mchezo asee..ukizubaa wanapita na kichwa chako.
Mkuu hata COSS? Mziki ni mnene???Mkasome..udsm sio pa mchezo asee..ukizubaa wanapita na kichwa chako.
Coss hapo ndo watu wanaenda kufanya sapu kuna CL106, Luna Ps, mkuu kuna Pl111 jipangeeeMkuu hata COSS? Mziki ni mnene???
Udsm ni pana sana dogo sema unaenda college gani kuwa specific sana. Mana mie najua cebe ndani ya CoET ningekuwa CoNAS nisingemalizaga mana nimemaliza pale supp kama zote Napata GPA ya 1.7 wakiweka practical training inasoma 1.8 GPA napiga sapu inasoma 2.0 nasonga mbele kama kawaida na carry za kutosha.Habari za wakati huu,
Wale tuliochanguliwa UDSM kwa mwaka wa masomo 2020/2021, karibuni tupeane details zinazoendelea kwa ajiri ya joining instructions, Admission letter na hata taratibu mbalimbali za chuo.
Wakongwe pia wa UDSM karibuni kwa maoni yenu, ushauri na hata mtupe taswira ya mazingira hapo UDSM.
Nawasilisha.
PS unamaanisha political science mkuu, ama??Coss hapo ndo watu wanaenda kufanya sapu kuna CL106, Luna Ps, mkuu kuna Pl111 jipangeee
Yah. Kila kona ina ugum wakee hamna lelemam kuna course linaitwa AS.. yan chuo ni zaidi y advance n level usiashum bata kabla hujafikaPS unamaanisha political science mkuu, ama??
Sijawahi fika chuo, ila naskia Ukiachana na Coet na Conas, mziki upo UDsoL kwa upande wa art, I thought COSS ni bata mkuu
Sawa mkuuYah. Kila kona ina ugum wakee hamna lelemam kuna course linaitwa AS.. yan chuo ni zaidi y advance n level usiashum bata kabla hujafika
Nadhani huko ndiko kubaya zaidi, wana yale mambo ya below 16 ya coursework una carry automatically..Mkasome..udsm sio pa mchezo asee..ukizubaa wanapita na kichwa chako.
UDBS MkuuUdsm ni pana sana dogo sema unaenda college gani kuwa specific sana. Mana mie najua cebe ndani ya CoET ningekuwa CoNAS nisingemalizaga mana nimemaliza pale supp kama zote Napata GPA ya 1.7 wakiweka practical training inasoma 1.8 GPA napiga sapu inasoma 2.0 nasonga mbele kama kawaida na carry za kutosha.
Trend iyo kwa MTU wa CoNAS unakuta ameshadisco mana kuna kitu kinaitwa departmental gpa ni Nouma dogo. Na wana yo ile ya main course na sio zile optional courses lazima uzifaulu vizuri pasipo Hayo optional courses.
Kiufupi ni kukaza zaidi ya advance.
Mie Nilikuwa ninajichanganya na biashara kidogo second year ningeenda na maji walienda kama watu 17 mwaka wa NNE akaenda mmoja. Niliumia sana.
Tulianza 181 tukahitimu 137.
Sio lazimaWadau Naomba kuuliza hivi UDSM first year Ni lazima kukaa hostel??