mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Na DUCE pia wanachukulia form Hapohapo UDSM.!
udsm hata j.k alisoma hapo.hata mwigulu.lowassa walisoma pia
UDSM tarehe ya kufungua chuo kwa mwaka wa kwanza wapya ni tatere 17-09-2012. Mara ya kwanza tarehe ilikuwa imesetiwa 1 -10-2012 lakini mabadiliko yamefanyika ,na kila form 1 mpya anatakiwa aripoti tarehe hiyo. joining instruction letter utapewa hapa hapa UDSM , katika jengo maarufu NKURUMAH. kARIBUNI SANA , na msisahau kutupa kaka zenu na dada zenu sehemu ya kulala( kubebana) .\
BY MWANAHARAKATI UDSM
Jamani , jamani, jamani kuweni makini na taarifa hizi. Mimi nazungumza na kiongozi wa daruso. Watu wataanza kufanya supplimentary tarehe 17 sept. Continuous watafungua tarehe 24 september. Jamani kuweni makini. Kama hamuamini muende chuo kufuata hizo taarifa