UDSM haipaswi kuikashifu UDOM

UDSM haipaswi kuikashifu UDOM

Ulamaa Hemed

Senior Member
Joined
Sep 21, 2012
Posts
159
Reaction score
16
Imezoeleka kuwa UDSM ndio chuo bora kinachotoa wanafunz wenye kiwango cha juu cha taaluma,(mazoea sio sheria) na wanafunzi wa UDSM wote wanaamini hivyo kuwa wao ni bora kuliko vyuo vingne hasa chuo chao pinzani (UDOM), Moja kati ya hoja zao wanasema wanafunz wa UDOM elimu yao sio bora coz walimu wao hawana taaluma ya kutosha, if so inamana hamjui kuwa walimu wa UDOM ndio wanafunzi waliomaliza UDSM?.
 
Unasumbuliwa na inferiority complex we kijana.aliyekuambia udom ni chuo pinzani kwa udsm ni nan?udsm ilinganishe na vyuo kama makerere,cape town,cairo na nairobi..udom level yake ni vyuo kama mipango,cbe,TIA na ushirika.
 
mmh! Wasomi mnatabu sana.. Ubora wa chuo mnaupima kwa kutumia vigezo gani mnavyo tumia kujua vyuo flani ni level moja na kutokua level moja.

Daaah! Kweli we msomi wa UDSM inamana katika maelezo yote umeona hoja ya msingi ni upinzani? Nakuendelea kujisifia!, lakn kumbuka zipo sababu zinazofanya tuseme kuwa UDOM nichuo pinzani cha UDSM
 
mmh! Wasomi mnatabu sana.. Ubora wa chuo mnaupima kwa kutumia vigezo gani mnavyo tumia kujua vyuo flani ni level moja na kutokua level moja.
UDSM wanatumia idadi ya miaka tangu chuo kianzishwe
 
Mods nyuzi kama hizi ni zakufunga, mbona kwenye siasa kule mko strict sana...
 
once the late mwl Julius Nyerere says ''UDSM IS PLACE WHERE PEOPLE'S MINDS ARE TRAINED FOR CLEAR THINKING AND FOR INDEPENDENT THINKING'' hence UDSM will remain the place to be AND NOT SOME WHERE ELSE.
 
Aiseee!
kumbuka pia alisema Tanzania yetu ni kisiwa cha amani!
wapi amani leo hii?
usiishi kwa historical events ndugu yangu.
 
Unasumbuliwa na inferiority complex we kijana.aliyekuambia udom ni chuo pinzani kwa udsm ni nan?udsm ilinganishe na vyuo kama makerere,cape town,cairo na nairobi..udom level yake ni vyuo kama mipango,cbe,TIA na ushirika.

Upinzani unaanzia hapo hapo ktk inferiority complex kwa kua ungekua huna ilo tatizo wewe mwana udsm usingejikweza!
 
Imezoeleka kuwa UDSM ndio chuo bora kinachotoa wanafunz wenye kiwango cha juu cha taaluma,(mazoea sio sheria) na wanafunzi wa UDSM wote wanaamini hivyo kuwa wao ni bora kuliko vyuo vingne hasa chuo chao pinzani (UDOM), Moja kati ya hoja zao wanasema wanafunz wa UDOM elimu yao sio bora coz walimu wao hawana taaluma ya kutosha, if so inamana hamjui kuwa walimu wa UDOM ndio wanafunzi waliomaliza UDSM?.

UDSM imeikashifu UDOM?
 
Tatizo ni kwamba UDOM umeajiri ma Tutorial Assistants wengi toka UDSM na ndo wanafundisha tena kwa kujidai utadhani MaProf
 
Ndio wanafunzi wengi wa UDSM wanaikashifu UDOM peleleza utagundua

Wanafunzi wa UDSM ndio UDSM?

Mtu akisoma heading ya thread anaweza kufikiri uongozi wa UDSM umeikashifu UDOM.

Wewe nawe ni product ya UDOM?
 
asante kwa kunikumbusha bt umenielewa

Nafasi ya Ulamaa ina hadhi yake, unaishusha.

Pia, usilazimishe kueleweka kama umeandika kwa lugha isiyoeleweka.

Kama unalaumu wengine kwa kutofanya vyema, angalia lawama zako zisiwezeshe lawama zaidi.
 
Asante kwa ushauri
 
wasomi munabishana! mimi sio mwana udsm wala mwana udom ila udsm ilikuwa ya zamani sasa ivi imekwisha labda bado naikubali kwa kozi kama Law na somehow injiniaringi kwa Tanzania lakini nyingine semeni ukweli wana udsm mnaosoma kozi nyingine mnatoka mkiwa shallow!
 
Back
Top Bottom