Ulamaa Hemed
Senior Member
- Sep 21, 2012
- 159
- 16
Unasumbuliwa na inferiority complex we kijana.aliyekuambia udom ni chuo pinzani kwa udsm ni nan?udsm ilinganishe na vyuo kama makerere,cape town,cairo na nairobi..udom level yake ni vyuo kama mipango,cbe,TIA na ushirika.
Daaah! Kweli we msomi wa UDSM inamana katika maelezo yote umeona hoja ya msingi ni upinzani? Nakuendelea kujisifia!, lakn kumbuka zipo sababu zinazofanya tuseme kuwa UDOM nichuo pinzani cha UDSMUnasumbuliwa na inferiority complex we kijana.aliyekuambia udom ni chuo pinzani kwa udsm ni nan?udsm ilinganishe na vyuo kama makerere,cape town,cairo na nairobi..udom level yake ni vyuo kama mipango,cbe,TIA na ushirika.
UDSM wanatumia idadi ya miaka tangu chuo kianzishwemmh! Wasomi mnatabu sana.. Ubora wa chuo mnaupima kwa kutumia vigezo gani mnavyo tumia kujua vyuo flani ni level moja na kutokua level moja.
UDSM wanatumia idadi ya miaka tangu chuo kianzishwe
once the late mwl Julius Nyerere says ''UDSM IS PLACE WHERE PEOPLE'S MINDS ARE TRAINED FOR CLEAR THINKING AND FOR INDEPENDENT THINKING'' hence UDSM will remain the place to be AND NOT SOME WHERE ELSE.
Unasumbuliwa na inferiority complex we kijana.aliyekuambia udom ni chuo pinzani kwa udsm ni nan?udsm ilinganishe na vyuo kama makerere,cape town,cairo na nairobi..udom level yake ni vyuo kama mipango,cbe,TIA na ushirika.
Imezoeleka kuwa UDSM ndio chuo bora kinachotoa wanafunz wenye kiwango cha juu cha taaluma,(mazoea sio sheria) na wanafunzi wa UDSM wote wanaamini hivyo kuwa wao ni bora kuliko vyuo vingne hasa chuo chao pinzani (UDOM), Moja kati ya hoja zao wanasema wanafunz wa UDOM elimu yao sio bora coz walimu wao hawana taaluma ya kutosha, if so inamana hamjui kuwa walimu wa UDOM ndio wanafunzi waliomaliza UDSM?.

Tatizo ni kwamba UDOM umeajiri ma Tutorial Assistants wengi toka UDSM na ndo wanafundisha tena kwa kujidai utadhani MaProf
UDSM imeikashifu UDOM?
Ndio wanafunzi wengi wa UDSM wanaikashifu UDOM peleleza utagundua
Wanafunzi wa UDSM ndio UDSM?
Mtu akisoma heading ya thread anaweza kufikiri uongozi wa UDSM umeikashifu UDOM.
Wewe nawe ni product ya UDOM?
asante kwa kunikumbusha bt umenielewa
Nafasi ya Ulamaa ina hadhi yake, unaishusha.
Pia, usilazimishe kueleweka kama umeandika kwa lugha isiyoeleweka.
Kama unalaumu wengine kwa kutofanya vyema, angalia lawama zako zisiwezeshe lawama zaidi.