UDSM haipaswi kuikashifu UDOM

mwanzisha uzi inaonyesha anatoka udom na pia anadhirisha wepesi wake kichwani kama angekuwa na elimu level ya udsm uzi kama huu usingepata nafasi kichwani mwake, nyumba mnabebwa kitu kimoja nyumba za kulala , ambazo pia zinachangia shallowness yenu, na mambo mengi ya msingi.:A S-rap:
 
Kosa la wanafunzi wa UDSM hawataki kuamini km kuna chuo hapa TZ ambocho kina ubora wa utaaluma kuliko chao,
 
Mi sidhani kama hili ni jambo la muhimu kujadiliwa na wasomi kama sisi wakati nchi yetu ina matatizo kibao ambayo tunatakiwa tuyatatue! O-level ndo wanatakiwa kujadili mambo kama haya! Lazima wasomi tujadili mambo ya maana bwana!
 
Nyie ni wasomi wa wapi? Hebu leteni hoja zenye maana hapa. Huu ni utoto, wa kushindanisha kipi ni chuo bora ni UTOTO.
 
Nyie ni wasomi wa wapi? Hebu leteni hoja zenye maana hapa. Huu ni utoto, wa kushindanisha kipi ni chuo bora ni UTOTO.

Lengo sio kushindanisha vyuo ila nikuwakumbusha na kuwashauri wanafunzi wa UDSM kuwa sasa Elimu imetanuka sana vyuoni wasiwe na mawazo yaleeeeee ya kuwa wao ndio bora zaidi. Ila kwavile hawati kuambiwa kweli ndio mana wanaleta kejeli
 
Ndio hayo tunayoyasema yakujiona bora bila ya hoja
 
Lengo sio kushindanisha vyuo ila nikuwakumbusha na kuwashauri wanafunzi wa UDSM kuwa sasa Elimu imetanuka sana vyuoni wasiwe na mawazo yaleeeeee ya kuwa wao ndio bora zaidi. Ila kwavile hawati kuambiwa kweli ndio mana wanaleta kejeli

Mbona mnahangaikia ujinga?si kuna rank ya vyuo vikuu bora imetolewa angalieni hapo position za vyuo vyenu.
 
Thibitsha kwamba Walimu wote wa UDOM wametoka UDSM. Mbona nasikia wanatoka Muslim University? Haya mawazo ya kushindanisha Vyuo yanatokana na fikra mgando, inferiority complex na kutoajiamni kwa baadhi ya watu particularly waliosoma UDOM wenyewe. Hivi vyuo vyote ni vya Watanzania na vimejengwa na Watanzania kwa faida ya Watanzania. Tukubali pia sio rahisi kumfananisha mtoto wa miaka 6 na yule wa miaka 50. UDSM wapo mbele kwa kila kitu, unaweza kuilinganisha tu na SUA, Makrere, University of Nairobi e.t.c. Kwa sasa UDOM bado wanayo kazi ya kufanya tena kubwa kwa sababu hata SAUT tu wakao juu ya UDOM. Nadhani ni busara sana kuipa muda UDOM ijipange na kuka sawa labda baada ya miaka 20 hivi. Kusema UDOM ni Chuo pinzani ni mawazo mgando yasiyo lenga kukisaidia hata kidogo. Hebu fikiria mpaka sasa hivi Chuo kilikuwa hakijatoa transcript za mwaka 2012...transcript sio vyeti....wamejiandaa kweli hawa?
 
Unasumbuliwa na inferiority complex we kijana.aliyekuambia udom ni chuo pinzani kwa udsm ni nan?udsm ilinganishe na vyuo kama makerere,cape town,cairo na nairobi..udom level yake ni vyuo kama mipango,cbe,TIA na ushirika.

Wewe kichwa maji tena maji haswaaa,wanafunzi wengi wa UDS wana GPA ya 2.2,3.
 
Unasumbuliwa na inferiority complex we kijana.aliyekuambia udom ni chuo pinzani kwa udsm ni nan?udsm ilinganishe na vyuo kama makerere,cape town,cairo na nairobi..udom level yake ni vyuo kama mipango,cbe,TIA na ushirika.
Kizazi hiki kina tabu sana badala yeye akomae aelimike haswa anangalia maswala ya vyuo na sijui nani kasema kuna ushindani baina ya UDSM na UDOM???
 
sasa ndiyo umeandika nini hapo? Kama hujafanikiwa kusoma UDSM ni bora ukatulia tu, ujifanye huna makuu siku ziende. Mnapambana na vitu visivyowasaidia leo wala kesho.
 
Aliyekudanganya UDSM ni pinzani na UDOM nani? Where is SUA, MZUMBE, MUHIMBILI and UCLAS? UDOM ni kitukuu wa UDSM they can't stand together mbona mnapenda kujitutumua mlochelewa kuamka nyie?
 
Lengo sio kushindanisha vyuo ila nikuwakumbusha na kuwashauri wanafunzi wa UDSM kuwa sasa Elimu imetanuka sana vyuoni wasiwe na mawazo yaleeeeee ya kuwa wao ndio bora zaidi. Ila kwavile hawati kuambiwa kweli ndio mana wanaleta kejeli

UDSM itabaki kuwa UDSM hamna Chuo cha kukifananisha usijidanganye kabisa wee soma zako UDOM uje uraiani utafute kazi upate hela maisha yaende ushindani unaoufanya hautakusaidia utajiumiza bure
 
Wewe kidogo unajua ukweli maana watu wa udsm wamekalia kuponda udom tu hawajui kwamba elimu ya hapa ni nzuri so waache waendelee na ujinga wao huo huo.
 
kwa huko tz ni just old wine in a new bottle.tusijivunie ubora wa vyuo tujifuvine ufanis wa graduates in working places.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…