Udsm hakuna kubebana!

Udsm hakuna kubebana!

Ragnar Fluke

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
374
Reaction score
116
Hamjambo wana jf! Kuna tetesi nimesikia kuwa udsm imepitisha sheria kali kwa wanafunzi wake sasa hakutakuwa na ule mtindo maafuru wa kubebana! Endapo itabainika wote walioshiriki watatimuliwa chuo mara moja! Kama kuna anaejua vizuri atujuze coz weng tunategemea kubebwa mtaan pagumu sana!
 
izo mbwembwe tu za chuo,mbebo kama kawa,ua wanakemeaga sana,bt kama kawa mbebo
 
It has been there for ages so siyo rahisi kuondoa hiyo kitu.
 
itakuwa hivo endapo watajenga hostel mpya,so kubebana ni lazima...
 
Back
Top Bottom