Hamjambo wana jf! Kuna tetesi nimesikia kuwa udsm imepitisha sheria kali kwa wanafunzi wake sasa hakutakuwa na ule mtindo maafuru wa kubebana! Endapo itabainika wote walioshiriki watatimuliwa chuo mara moja! Kama kuna anaejua vizuri atujuze coz weng tunategemea kubebwa mtaan pagumu sana!