Mkuu nakumbuka vizuri sana wakati UD wakigoma kuanzishwa kwa hii bodi Tumaini wakaenda kwenye vyombo vya habari kuwapinga na kuwatukana wakiwa chini ya Godwin Gondwe..... sasa mambo yamewarudi na wao wenyewe!!Nakumbuka wanafunzi wa UDSM kupitia DARUSO walitoa waraka wa kupinga uanzishwaji wa bodi ya mikopo.
Ni chuo pekee kilichopinga kuanzishwa kwa HESLB,walipingwa na serikali pamoja na vyuo binafsi especially Tumaini University.
Kutokana na hali ya migomo ya wanafunzi inayoendelea kila kona ya nchi,
Je UDSM walikua sahihi?
Mwenye huo waraka atuwekee hapa tuone 'hofu' ya UDSM ilijikita kwenye issue gani zaidi.
Mkuu nakumbuka vizuri sana wakati UD wakigoma kuanzishwa kwa hii bodi Tumaini wakaenda kwenye vyombo vya habari kuwapinga na kuwatukana wakiwa chini ya Godwin Gondwe..... sasa mambo yamewarudi na wao wenyewe!!