Safi kabisa! UDOM inakuja juu!Kama ulidhani kusoma UDSM ingekuwa kete ya wewe kuonekana unafaa zaidi fikiria mara mbili
SSH
Emmanuel Nchimbi
Amos Makala
Steven Wasira
Hawajahi kukanyaga UDSM
Mzumbe university inaenda kuireplace UDSM ba miaka 20 ijayo UDOM inashika hatamu
Subirini kwanza mkae kwa kutulia saaaana teeena bila ya kujitikisa.Safi kabisa! UDOM inakuja juu!
Hilo sio la muhimu jambo muhimu ni content wanao toa inaendana na jina lao, zamani ulikua ni ushamba wa watu walio somea mikoani kuja kusomea udsm hata ka kozi isio eleweka kwasasa watu wamesha jua chuo sio jina ni kozi na content.Kama ulidhani kusoma UDSM ingekuwa kete ya wewe kuonekana unafaa zaidi fikiria mara mbili
SSH
Emmanuel Nchimbi
Amos Makala
Steven Wasira
Hawajahi kukanyaga UDSM
Mzumbe university inaenda kuireplace UDSM ba miaka 20 ijayo UDOM inashika hatamu
Naona unatumia nguvu nyingi kuidogosha. Aliyekutangulia kakutangulia tu kamuhadithie na mwenyekiti wako wa mtaaKama ulidhani kusoma UDSM ingekuwa kete ya wewe kuonekana unafaa zaidi fikiria mara mbili
SSH
Emmanuel Nchimbi
Amos Makala
Steven Wasira
Hawajahi kukanyaga UDSM
Mzumbe university inaenda kuireplace UDSM ba miaka 20 ijayo UDOM inashika hatamu
Ndio kamuhadithie kwamba aliyetangulia kakutangulia strategic position zote utajua wamekaa kina nani tukikupa takwimu utakimbiaMwenyekiti wangu wa mtaa kijana mdogo tu miaka 27 mhitimu wa SAUT
Nilipita zaaaamaniii mpaka vyeti vimechanika sasa hivi teh teh teh.Teofilo kisanji university (TEKU)×
Taasisi ya Elimu Kata ya Uyole(TEKU)✓
Na huo ndiyo uthibitisho kuwa vyuo vingine ni mzaha, unamaliza digrii SAUT halafu unaishia kuwa mwenyekiti wa mtaa.Mwenyekiti wangu wa mtaa kijana mdogo tu miaka 27 mhitimu wa SAUT