Udsm je wajua?

pottasium

Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
91
Reaction score
5
je wajua kuwa wanafunzi wa first year waliopata neema ya HELB Unatakiwa ufungue account ya benk kata ya matawi yafuatayo CRDB,NBC & NMB Ila swali je ni lipi kati ya haya matawi ni nzuri zaidi na halina usumbufu mwingi wakati wa kufungua?
 
Hahaha mpaka unaingia chuokikuu huna account polee
 
CRDB,ndio nzuri zaidi boom linaingia siku hiyo hiyo kwa kuwa chuo na bodi wanatumia CRDB,Hayo mengine boom inaingia baadaya ya wiki kutokana na transfer toka CRDB kwenda hayo mengine yaani NMB na NBC.
 
Tumechoka na threads zenu. Mlianza matokeo ya Form Six, ikawa NECTA, NECTA, NECTA...! Ikaja selection, ikawa TCU, TCU, TCU...! Ikaja mikopo, ikawa HESLB, HESLB, HESLB..! Yaani hata benki mnaulizia? Hawa wanachuo waliotoka shule za kata matunda yake ndo haya. Ngoja muanze kukimbizwa na assignments, sijui kama tutawaona humu!
 
Hahaha mpaka unaingia chuokikuu huna account polee

Ndugu usiwe na upumbavu mwingi kichwani,hata kama wewe si msoni,ukiwa jf jifanye msomi kwa muda....

We unadhani benk account ni crdb na nmb,usipende kukariri...!

Watu wana account KCB,barclays,standard chattered...
 
kwani vipi dada? mimi nimemwambia mleta mada
 
Ndugu usiwe na upumbavu mwingi kichwani,hata kama wewe si msoni,ukiwa jf jifanye msomi kwa muda....

We unadhani benk account ni crdb na nmb,usipende kukariri...!

Watu wana account KCB,barclays,standard chattered...

bodi na vyuo hawa hitaji hizo zingine jaribu kusoma post nzima
 
wapo wanaohitaji msaada huku kama vipi kafanye mambo yako mengine SI LAZIMA kujibu post ambayo hujui
 
... Unatakiwa ufungue account ya benk kata ya matawi yafuatayo CRDB,NBC & NMB Ila swali je ni lipi kati ya haya matawi ni nzuri zaidi na halina usumbufu mwingi wakati wa kufungua?
wapo wanaohitaji msaada huku kama vipi kafanye mambo yako mengine SI LAZIMA kujibu post ambayo hujui
Na wewe unaamini kuwa CRDB, NBC na NMB ni matawi? Kama mtu hajui hata kuwa CRDB, NBC na NMB ni Benki, sio matawi, sasa utamshauri aende 'tawi' gani?
 
Ndio kujifunza huko...

Kama msomi Ukicriticise jambo,jaribu kutoa immidiate alternative/soln sio kuanza porojo....
 
Na wewe unaamini kuwa CRDB, NBC na NMB ni matawi? Kama mtu hajui hata kuwa CRDB, NBC na NMB ni Benki, sio matawi, sasa utamshauri aende 'tawi' gani?

topic UDSM je wajua?CRDB iko pale UDBS,NMB iko pale COET na NBC tawi lao liko mkabala na UDComputing Centre
 
UDSM! UDSM!.Chuo bora afrika mashariki.watu wengi walikupenda lakin wakashindwa kufikia vigezo vyakuja hapo.Wamebaki wakizichukia threads zinazokuhusu wewe my love UDSM.
 
Ndugu usiwe na upumbavu mwingi kichwani,hata kama wewe si msoni,ukiwa jf jifanye msomi kwa muda....

We unadhani benk account ni crdb na nmb,usipende kukariri...!

Watu wana account KCB,barclays,standard chattered...

Umenifurahisha xana wanadhan kuwa na account lazma iwe ni crdb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…