Udsm kesho kuchafuka zaidi

Acheni uwoga sisi enzi zetu tulikuwa tukiamua kugoma tunagoma na tatizo linatatuliwa mara moja, siku hizi tatizo wamejaa wengi ambao wanaona kama wamepata favour kuingia vyuoni. Nani asiyetaka hali bora chuoni? Acheni unafiki vijana
 
kugoma hamna dili
 
UDSM na UDOM wasipofanya mabadiliko wanatupeleka pabaya...huu mtindo wa kuwafukuza watu kama njugu haukubaliki...nadhani kuna haja ya kuwauliza huyu Mkandala na Mlacha wanafanya kazi kwa niaba ya nani? Kuna njama za kufukuza vijana wanaodai haki zao kwa kisingizio kuwa ni member wa CDM......
 
Sijapata infoz toka rev square coz nlikuwa kwa class but soon ntawajuzeni wana Jf .Na kama kuna m2 ambaye yupo maeneo ya cafeteria na coET anaweza kutujuza.Nipo yombo 5 ndo naelekea huko kwa wadau.Huku yombo kukofine no any rumourz,
I Will be back after a Moment.
 
Komaeni,hawa waliosoma enzi za ukoloni mkiwachekea watawafukuzeni wote,msiogope, kama ipo,ipo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…