Udsm kimenuka

Udsm kimenuka

XOXOQY

Senior Member
Joined
Feb 7, 2011
Posts
193
Reaction score
54
Ule mchakato wa kugoma kwa wana-udsm umetimia nanukuu site moja hivi inasema "BREAKING NEWS.Chuo kikuu cha Dar Es Salaam wagoma kuingia madarasani,FFU waenda kutuliza ghasia!" nukuu hii ni ya mtandao wa www.eduforums.wapka.mobi
 
daaaa hawa polisi darasa la saba wamekosa cha kufanya
 
Back
Top Bottom