X XOXOQY Senior Member Joined Feb 7, 2011 Posts 193 Reaction score 54 Nov 11, 2011 #1 Ule mchakato wa kugoma kwa wana-udsm umetimia nanukuu site moja hivi inasema "BREAKING NEWS.Chuo kikuu cha Dar Es Salaam wagoma kuingia madarasani,FFU waenda kutuliza ghasia!" nukuu hii ni ya mtandao wa www.eduforums.wapka.mobi
Ule mchakato wa kugoma kwa wana-udsm umetimia nanukuu site moja hivi inasema "BREAKING NEWS.Chuo kikuu cha Dar Es Salaam wagoma kuingia madarasani,FFU waenda kutuliza ghasia!" nukuu hii ni ya mtandao wa www.eduforums.wapka.mobi
MATESLAA JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 1,246 Reaction score 75 Nov 11, 2011 #2 daaaa hawa polisi darasa la saba wamekosa cha kufanya