nimesoma sana...msijione nyie mliopo chuo sasa hivi ndio wasomi. Kumbuka UDSM ina zaidi ya 50 yrs! Miaka yote walikuwa wanatoka graduates walio makini, siyo wa miaka hii!
Mbona sisi huku St. Augustine university of Tanzania utaratibu ndio uko hivyo miaka yote.! Unafafanya kwanza registration then unapata mkopo wako after a week halafu maisha yanaenda kama kawa..! Nipo mwaka wa tatu (Law) hapa SauT na ni mtoto wa mkulima napata loan 100%.
Revolution-magamba = maisha bora
..Eng, tatizo la nchi yetu ni utekelezaji. Nia ni nzuri kwani ili uweze kupokea Boom lazima uwe mwanafunzi halali (registered), sasa ishu nadhani ni kuwa watu mnaweza kuwa mko chuoni for weeks hamjaweza kuregister for one reason or another. nadhani wangeweza kuwa na utaratibu wa kuwapa fedha kidogo za kujikimu mara tu wanapo ripoti chuoni say 100,000/- huku taratibu nyingine zikendelea. Nimwewahi kwenda kusoma nje nilipofika tu airport nikapokelewa na kukatiwa mshiko kidogo wa kujiweka sawa wakati paper work nyingine zinaendeleandio system zilivyo,si tunataka maendeleo bana,hata wasomao nje ndio hivyo,baadhi ya nchi ni lazima kila tarehe furani ya mwezi uregister ndio wakuwekee bumu
so kuwei wavumilivu nadhani lengo ni kuwabaini wale ambao hawapo chuoni lakini bumu wanalamba kama kawa
Someni nyie..mmefuata elimu chuo na siyo boom.
Hauwezi kutenganisha elimu ya juu na boomSomeni nyie..mmefuata elimu chuo na siyo boom.
wazazi wenu walio vijijini, wanaohangaika huku na kule kuwapatia ada wanaelewa kuwa mnagoma? Hebu jifunzeni, migomo yenu.haisaidii chochote tena, tayari imeshazoeleka! Haina tena nguvu!
nimesoma sana...msijione nyie mliopo chuo sasa hivi ndio wasomi. Kumbuka UDSM ina zaidi ya 50 yrs! Miaka yote walikuwa wanatoka graduates walio makini, siyo wa miaka hii!
wazazi wenu walio vijijini, wanaohangaika huku na kule kuwapatia ada wanaelewa kuwa mnagoma? Hebu jifunzeni, migomo yenu.haisaidii chochote tena, tayari imeshazoeleka! Haina tena nguvu!
nimesoma sana...msijione nyie mliopo chuo sasa hivi ndio wasomi. Kumbuka UDSM ina zaidi ya 50 yrs! Miaka yote walikuwa wanatoka graduates walio makini, siyo wa miaka hii!
we mseng.....nini utasoma bila bumu acha habari zako za ajabu.
Hauwezi kutenganisha elimu ya juu na boom