Leo nimekutana na tangazo la ajira kutoka UDSM wanahitaji Procurement Specialist.
Nikajiuliza maswali yafuatayo.
1. Je, UDSM haina wataalamu wa Ununuzi ?
2. Na kama wataalamu wapo, Je, hawana sifa zinazokidhi matakwa ya hiyo kazii?
3. Je UDSM haiwaamini wataalamu wake walioko kwenye sekta ya manunuzi?
4. Je, huyo mtaalamu atakaye patikana nje ya UDSM atawajibika wapi na kwa nani, na Je maidhinisho (Approval) kutoka Bodi ya Zabuni au Kamati za Uchambuzi zitafanyika vipi?
5. Je? Huyo atakaye patikana, anaweza kupata ushirikiano wa kutosha kutoka kwa wataalamu walioko UDSM.
Binafsi nimeona haya ni matumizi mabaya ya rasilimali na dharau kubwa kwa wataalamu waliyoko! kuna uwezekano mkubwa baadhi ya wataalamu wa hapo ndio wamepelekea kufanikisha kupatikana kwa mradi huo.
Wizara kama Kilimo, Nishati na Ujenzi, pamoja na kupokea fedha nyingi sana kutoka WB na mashirika mengine ya kimataifa, imekuwa ikitumia wataalamu wake kutekeleza miradi hiyo? kwanini UDSM imewafanyie watumishi wake ivo?
UDSM kuna nini?