mliverpool
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 1,565
- 2,944
umekariri kuwa udsm imejitoshelezaLeo nimekutana na tangazo la ajira kutoka UDSM wanahitaji Procurement Specialist.
Nikajiuliza maswali yafuatayo.
1. Je, UDSM haina wataalamu wa Ununuzi ?
2. Na kama wataalamu wapo, Je, hawana sifa zinazokidhi matakwa ya hiyo kazii?
3. Je UDSM haiwaamini wataalamu wake walioko kwenye sekta ya manunuzi?
4. Je, huyo mtaalamu atakaye patikana nje ya UDSM atawajibika wapi na kwa nani, na Je maidhinisho (Approval) kutoka Bodi ya Zabuni au Kamati za Uchambuzi zitafanyika vipi?
5. Je? Huyo atakaye patikana, anaweza kupata ushirikiano wa kutosha kutoka kwa wataalamu walioko UDSM.
Binafsi nimeona haya ni matumizi mabaya ya rasilimali na dharau kubwa kwa wataalamu waliyoko! kuna uwezekano mkubwa baadhi ya wataalamu wa hapo ndio wamepelekea kufanikisha kupatikana kwa mradi huo.
Wizara kama Kilimo, Nishati na Ujenzi, pamoja na kupokea fedha nyingi sana kutoka WB na mashirika mengine ya kimataifa, imekuwa ikitumia wataalamu wake kutekeleza miradi hiyo? kwanini UDSM imewafanyie watumishi wake ivo?
UDSM kuna nini?
Kuna watu humu walikuja na taratibu za kuajiri, sijui ooh matakwa ya mradi, lakini kwa namna nilivyoona tangazo, binafsi nilitia shaka kuhusu jambo hili.Wengi nadhan hawajakuelewa na hawajajua donor funding projects zinqvofsnyika ktk taasisi za serikali,kiukweli wamewadhalilisha wataalamu wao na wataishia kupata watu ambao less competence kulinganisha na wataalamu wao,hicho chuo kina kasumba ya kudharau supporting staff hata ktk stahiki na malipo,kama wametafuta procurement specialist kwwnn hawajatafuta na mhasibu pia?? Na project manager pia!
Sijakariri!umekariri kuwa udsm imejitosheleza
Shida iko wapi? UDSM si wana muundo wa utumishi wa kada mbalimbali,hivyo kila kada ina majukumu yake Sasa kama kuna procurement specialist si naye atakuwa na duties zake? Sijaona shida.Leo nimekutana na tangazo la ajira kutoka UDSM wanahitaji Procurement Specialist.
Nikajiuliza maswali yafuatayo.
1. Je, UDSM haina wataalamu wa Ununuzi ?
2. Na kama wataalamu wapo, Je, hawana sifa zinazokidhi matakwa ya hiyo kazii?
3. Je UDSM haiwaamini wataalamu wake walioko kwenye sekta ya manunuzi?
4. Je, huyo mtaalamu atakaye patikana nje ya UDSM atawajibika wapi na kwa nani, na Je maidhinisho (Approval) kutoka Bodi ya Zabuni au Kamati za Uchambuzi zitafanyika vipi?
5. Je? Huyo atakaye patikana, anaweza kupata ushirikiano wa kutosha kutoka kwa wataalamu walioko UDSM.
Binafsi nimeona haya ni matumizi mabaya ya rasilimali na dharau kubwa kwa wataalamu waliyoko! kuna uwezekano mkubwa baadhi ya wataalamu wa hapo ndio wamepelekea kufanikisha kupatikana kwa mradi huo.
Wizara kama Kilimo, Nishati na Ujenzi, pamoja na kupokea fedha nyingi sana kutoka WB na mashirika mengine ya kimataifa, imekuwa ikitumia wataalamu wake kutekeleza miradi hiyo? kwanini UDSM imewafanyie watumishi wake ivo?
UDSM kuna nini?
Inawezekana.Ni mradi kumbuka.Kuna watu humu walikuja na taratibu za kuajiri, sijui ooh matakwa ya mradi, lakini kwa namna nilivyoona tangazo, binafsi nilitia shaka kuhusu jambo hili.
Haiwezekani mradi ufanyikie ndani ya taasis alafu muajiri watu wapya, wakati tayar mnao wa taalamu wa kada hiyo hiyo, na mbaya zaidi, pengine staff hao ndio walihusika kuandaa mpaka kufanikisha kupatikana kwa mradi huo.
Pole kwa walio athirika na kadhia hii!
Naomba ujiridhishe na comments zangu! Nachoandika hapa, ni maoni binafsi baada ya kuona tangazo! na kwa taarifa yako baada ya bandiko langu kuna taarifa nyingi ninezipata nyuma ya pazia.Shida iko wapi? UDSM si wana muundo wa utumishi wa kada mbalimbali,hivyo kila kada ina majukumu yake Sasa kama kuna procurement specialist si naye atakuwa na duties zake? Sijaona shida.
Kama ninyi ni PMU tulieni fanyeni yenu mliyopewa, huyu akija atafanya yake.Au sio?
Kweli akili ni nyweleNadhani hujaelewa swali langu!
Nimeuliza, ivi udsm haina procurement specialist?
Swali langu liko hapo tu!
Naona wewe ndio uko OP kabisa, bora ungeishia kusoma comments za watu wenye uelewa na haya mambo.Kweli akili ni nywele
Kuwa na huyo procurement specialist haimaanishi kuwa mahitaji yao kwa specialist wengine ndio yameisha.
Ukiona hivyo ujue wanahitaji hao procurement specialist wengine. Na sio kwamba eti hawana
Kwa hiyo unavyoona wizara ya fedha inatangaza ajira za wachumi, Ina maana haina wachumi?
Usikute tayar mtu yupo kituo cha kaziSasa kuna ubaya gani wakitafuta procurement specialist?ulitaka wapeane kimya kimya?
Hata ulichoandika hapo hakieleweki.Naona wewe ndio uko OP kabisa, bora ungeishia kusoma comments za watu wenye uelewa na haya mambo.
Unaonekana hata hufahamu majukumu ya Katibu Mkuu Utumishi (Tume ya Ajira)
Taratibu za ajira.Leo nimekutana na tangazo la ajira kutoka UDSM wanahitaji Procurement Specialist.
Nikajiuliza maswali yafuatayo.
1. Je, UDSM haina wataalamu wa Ununuzi ?
2. Na kama wataalamu wapo, Je, hawana sifa zinazokidhi matakwa ya hiyo kazii?
3. Je UDSM haiwaamini wataalamu wake walioko kwenye sekta ya manunuzi?
4. Je, huyo mtaalamu atakaye patikana nje ya UDSM atawajibika wapi na kwa nani, na Je maidhinisho (Approval) kutoka Bodi ya Zabuni au Kamati za Uchambuzi zitafanyika vipi?
5. Je? Huyo atakaye patikana, anaweza kupata ushirikiano wa kutosha kutoka kwa wataalamu walioko UDSM.
Binafsi nimeona haya ni matumizi mabaya ya rasilimali na dharau kubwa kwa wataalamu waliyoko! kuna uwezekano mkubwa baadhi ya wataalamu wa hapo ndio wamepelekea kufanikisha kupatikana kwa mradi huo.
Wizara kama Kilimo, Nishati na Ujenzi, pamoja na kupokea fedha nyingi sana kutoka WB na mashirika mengine ya kimataifa, imekuwa ikitumia wataalamu wake kutekeleza miradi hiyo? kwanini UDSM imewafanyie watumishi wake ivo?
UDSM kuna nini?
Kiongozi Pole sana, bado uko OP. Hata huelewi taratibu.Hata ulichoandika hapo hakieleweki.
Hoja yako ni unashangaa udsm kutangaza kazi ya procurement specialist na kuuliza kwani hawana hao watu
UDSm kutanganza kazi haimaanini hiyo kazi watu hawapo, Bali mahitaji yao yameongezeka.
Tra wametangaza nafasi za kazi kwa maafisa wa kodi 2000 Ina maana walikua hawana maafisa wa kodi?

Unamaanisha kwa kuwa UDSM wana watumishi 'wataalamu' wa fani ya manunuzi na ugavi hivyo wawatumie haohao waliopo tu, hawana budi kuongeza nguvu kazi mpya hata kama kuna haja ya kufanya hivyo?
Yaani hata kama majukumu ni mengi sana kuliko nguvu kazi basi wakomae wenyewe tu wasiajiri
Lo! Na mimi nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wewe aisee [emoji23]
Wewe unayeelewa taratibu za kuajiri kilichokufanya utatizike hadi kuandaa mada ni nini?Kiongozi Pole sana, bado uko OP. Hata huelewi taratibu.
OP.Wewe unayeelewa taratibu za kuajiri kilichokufanya utatizike hadi kuandaa mada ni nini?
Miradi mikubwa ina kawaida ya kuajiri watu maalumu kwa mantiki ya kwamba hawataki attention ya mtu iwe divided. Miradi mikubwa huwa ina taratibu zake za manunuzi ambayo ni very complicated, inahitaji mtu wa ku concentrate na huo mradi tu bila ya hivyo kama una duties zingine utatindinganya mambo. Wao wameona busara waajiri mtu kwa contract awe focused kwenye mradi tu. Hiyo mifanounayotolea ya wizara, huwa wanaharibu sana, na ndo maana hivi karibuni donors wanakuwa wanasisitiza mradi ukiwa mkubwa sana, awepo mtu maalumu wa ku deal na issues. Procurement ni eneo moja nyeti sana na linaloshawishi ubadhirifu, unaweza kufungwa usipokuwa makiniLeo nimekutana na tangazo la ajira kutoka UDSM wanahitaji Procurement Specialist.
Nikajiuliza maswali yafuatayo.
1. Je, UDSM haina wataalamu wa Ununuzi ?
2. Na kama wataalamu wapo, Je, hawana sifa zinazokidhi matakwa ya hiyo kazii?
3. Je UDSM haiwaamini wataalamu wake walioko kwenye sekta ya manunuzi?
4. Je, huyo mtaalamu atakaye patikana nje ya UDSM atawajibika wapi na kwa nani, na Je maidhinisho (Approval) kutoka Bodi ya Zabuni au Kamati za Uchambuzi zitafanyika vipi?
5. Je? Huyo atakaye patikana, anaweza kupata ushirikiano wa kutosha kutoka kwa wataalamu walioko UDSM.
Binafsi nimeona haya ni matumizi mabaya ya rasilimali na dharau kubwa kwa wataalamu waliyoko! kuna uwezekano mkubwa baadhi ya wataalamu wa hapo ndio wamepelekea kufanikisha kupatikana kwa mradi huo.
Wizara kama Kilimo, Nishati na Ujenzi, pamoja na kupokea fedha nyingi sana kutoka WB na mashirika mengine ya kimataifa, imekuwa ikitumia wataalamu wake kutekeleza miradi hiyo? kwanini UDSM imewafanyie watumishi wake ivo?
UDSM kuna nini?
Wataalam wa UDSM wengi wapo kwa ajiri ya kufundisha hivyo inapotangazwa hiyo nafasi maana yake anatafutwa mtu ambae atakuwa ana deal na issue zote related na hiyo post huku hao wataalam wengine unaosema wakiendelea na majukumu yao. Lengo ni kupata mtu wa kumwajibisha kwa maana ya kufuatlia shughuli za kila siku za hayo mambo. Vivyo hivyo kuna wahasibu na watumishi wengine wapo wanatekeleza majukumu yao. Kwa jina lingine hao watumishi wanaweza wakaitwa kwa ujumla yake kama 'supporting staffs" yaani wanatekeleza majukumu mengine huku core business ya UDSM ya kuzalisha wataalam wapya ikiindelea kufanywa na wengine.Hapa ndipo napata tabu, kwanii kupoteza rasilimali wakati tayar wataalamu wapo, na wanafanya kazi hizo hizo daily?
Nimetoa mfano hapo wa wizara zinazopokea fedha nyingi kutoka mashirika ya fedha, lakini imekuwa inatumia wataalamu wake,kwanini hii?
Kwanini watumishi hao kama hawatoshi katika kaI hiyo kwanin wasijengewe uwezo??
Hapa ndipo napata shida kuelewa.