The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Kwa usawa huu kila MTU anatafuta jinsi ya kuongeza kibubu chake,watawala wanajua wabongo wengi njaa tu, ukiwapa fulsa ya kupiga pesa wanaweza, hata wakakana jinsia zao!Nimemskiliza kwa makini ulimwengu yuko sahihi maana chuo kimezubaa scna siku za hivi karibuni.
Sijui nkruma hall wanaitumia kwa kazi gani siku hizi. Najiuliza je huenda siku hizi vijana wanaoenda vyuoni ni wadogo sana kiasi amabacho hawawezi kujenga hoja.
Hapana wanasiasa wamekikandamiza hiki chuo ili kiwe kitovu ha kutoa machawa badala ya wasomi critical thinkers.
UDSM iligeuka mwiba kwa CCM
All the time utasikia wanapongeza pongeza tu. DARUSO hatuisikii tena vijana machachari wamepotea kabisa
UDSM Tokeni mujibu hoja
Hapo ndipo tatizo lilipoanziaKwa usawa huu kila MTU anatafuta jinsi ya kuongeza kibubu chake,watawala wanajua wabongo wengi njaa tu, ukiwapa fulsa ya kupiga pesa wanaweza, hata wakakana jinsia zao!
Prof Benson bana,kipindi akiwa UDSM, alikuwa anatoa mawazo ya kukosoa Sana serikali, akawaona wenzie, Kitila, kabudi wanaosifia wamelamba dume!akaanza kusifia,sasa hv ni balozi wetu nigeria, ye ye ni academician,sio diplomatic, kule kaenda kula bata tu
Mkuu,Nimemskiliza kwa makini ulimwengu yuko sahihi maana chuo kimezubaa scna siku za hivi karibuni.
Sijui nkruma hall wanaitumia kwa kazi gani siku hizi. Najiuliza je huenda siku hizi vijana wanaoenda vyuoni ni wadogo sana kiasi amabacho hawawezi kujenga hoja.
Hapana wanasiasa wamekikandamiza hiki chuo ili kiwe kitovu ha kutoa machawa badala ya wasomi critical thinkers.
UDSM iligeuka mwiba kwa CCM
All the time utasikia wanapongeza pongeza tu. DARUSO hatuisikii tena vijana machachari wamepotea kabisa
UDSM Tokeni mujibu hoja
Kujibu hoja ni lazims uwe na uwezo wa kuichambua hoja kwa kina, vinginevyo utakoleza moto.Nimemskiliza kwa makini ulimwengu yuko sahihi maana chuo kimezubaa scna siku za hivi karibuni.
Sijui nkruma hall wanaitumia kwa kazi gani siku hizi. Najiuliza je huenda siku hizi vijana wanaoenda vyuoni ni wadogo sana kiasi amabacho hawawezi kujenga hoja.
Hapana wanasiasa wamekikandamiza hiki chuo ili kiwe kitovu ha kutoa machawa badala ya wasomi critical thinkers.
UDSM iligeuka mwiba kwa CCM
All the time utasikia wanapongeza pongeza tu. DARUSO hatuisikii tena vijana machachari wamepotea kabisa
UDSM Tokeni mujibu hoja
Hii hapaMkuu,
Weka hiyo clip basi
Siyo hicho chuo..Graduates wengi wa hicho chuo kwa sasa ni vilaza kupitiliza
Karibu SUA mkuu,angalau tunajifunza hata Kilimo bora ili watu wapate chakula cha kutosha.Graduates wengi wa hicho chuo kwa sasa ni vilaza kupitiliza
Chancellor wa UDSM ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM unategemea chuo kizalishe nini zaidi ya chawa na kupeNimemskiliza kwa makini ulimwengu yuko sahihi maana chuo kimezubaa scna siku za hivi karibuni.