Udsm kuwafanyia usaili wanafunzi wa M .A.linguistic imekaaje hii wadau

mukuruu

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
19
Reaction score
1
wadau hii imaekaaje kwa udsm kuwafanyia usaili wanafunzi wanaojiunga na masters ya linguistic mwaka huu kwa wale wanotoka vyuo tofauti na udsm ianamaana hawaamini kuwa kusoma vyuo hivvyo wanafunzi hawana uwezo wa kusoma course husika kwani kuna jamaa yangu kajiunga mwaka huu kafanyiwa usaili ndo kafaulu na kuruhusiwa kusoma yeye kasoma Arusha university
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…