the senior
Member
- Aug 15, 2012
- 24
- 2
Yaani hiki chuo tangu alipostaafu prof.luanga na kuingia Mukandara ni kama kimekufa!
Usiwe na haraka kaka UDSM nafasi zenu zipo tuuu..
vyuo vingine hivi kama UDOM wameambiwa wasubiri kwanza,ninyi mkiisha ajiriwa ndo wao watafikiriwa.
Kweli kabisa mdogo wetu.Kwani rekodi zinaonesha toka chuo hicho kianzishwe,hakuna hata graduate mmoja aliyewahi kukosa ajira,nyie mpo juu sana,njooni tu ajira ni nyingi sana zimawasubiri nyinyi ma-genius,kwani hata bakhresa na Dewji walisoma hapo,hivyo hawawezi kuwatosa hata kazi za kuoka mikate au kuuza rambaramba.
upuuzi mtupuKweli kabisa mdogo wetu.Kwani rekodi zinaonesha toka chuo hicho kianzishwe,hakuna hata graduate mmoja aliyewahi kukosa ajira,nyie mpo juu sana,njooni tu ajira ni nyingi sana zimawasubiri nyinyi ma-genius,kwani hata bakhresa na Dewji walisoma hapo,hivyo hawawezi kuwatosa hata kazi za kuoka mikate au kuuza rambaramba.

Ndoto za alinacha...Nani kakwambia?Usiwe na haraka kaka UDSM nafasi zenu zipo tuuu..
vyuo vingine hivi kama UDOM wameambiwa wasubiri kwanza,ninyi mkiisha ajiriwa ndo wao watafikiriwa.
Penye udhia penyeza rupia...Akili kichawani. Usishangae hata baada ya siku 14 hupati hiyo kitu, wakati wenzio wanapata ndani ya siku mojaYaani hiki chuo tangu alipostaafu prof.luanga na kuingia Mukandara ni kama kimekufa!